Sina imani naye tena

badala yakumwambia muende angazakupima, unamwambia akupe historia yake?
 
Unaandika utafikiri una tumbo la kipindupindu. Tulia uandike kitu kinachoeleweka.

Hahahaha yani umenikumbusha zamani sana aisee sijui ndio lilikuwa tumbo la kipindupindu maana full kukaa mlango wa chooni......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…