Sina imani na wanawake katika mapenzi

Mfano wa matatizo ya kisaikolojia ni yapi?
 
Kama unaweza pata mwanamke ambaye atakuwa tayari kuzaa mtoto na wewe; fanya hivyo then chukua mtoto wako lea. Mimi nimeoa mwaka wa sita sasa sioni faida yoyote,

Hahaha...
 
Kama unaweza pata mwanamke ambaye atakuwa tayari kuzaa mtoto na wewe; fanya hivyo then chukua mtoto wako lea. Mimi nimeoa mwaka wa sita sasa sioni faida yoyote,

Assnte kwa ushauri mzuri mkuu,nitaufanyia Kazi!
 
Mkuu kwahiyo unategemea kuoa NYANI????Kwamaana umesema unahisi kila mwanamke unayempata cyo mwaniminfu,usijidanganye mkuu pia huko kwenye ndoa kumejaa usaliti wa hali ya juu.
 
Umbuje wa hommie wangu Kaizer, unajua kuna watoto wa kuadopt? Labda huyo mvivu ndo anawazungumzia. Yani wanaume wenzie tuzalishe yeye atulelee wanetu....
Heshma yako hommie wake umbuje,Nimependa hilo jina ulilombatiza,mvivu!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…