julius caesar
Member
- Mar 20, 2015
- 94
- 27
Haya tafuta wanaume sasa kama wanawake hawafai
Habari wana jf,kusema kweli nimepitia changamoto nyingi za kimapenzi,huko nyuma nimesalitiwa sana na wanawake niliowapenda,lakini sasa binafsi naona umuhimu wa kuoa na kujenga famalia,lakini tatizo langu si mwamini mwanamke yoyote,Tatizo hili Lina nipa wakati mgumu sana kuweza kuoa coz sasa kila mwanamke nayempata nahisi simwaminifu,msaada wenu wa ushauri Tafadhali!
Hao watoto ata adopt?Kama huwaamini usioe kabisa.
Ukiwa na watoto ni familia tosha. Watakupa furaha na amani.
Ndoa as ndoa sio muhimu kwa sasa, utajikuta unaishi maisha yasiyo na furaha.
Hao watoto ata adopt?
Kama hana imani na wanawake asahau wana exist aendelee na maisha yake. Kila mmoja angeamua based on past experiences ni wachache sana wangekubali kuolewa/kuoa.
Kama ameona hawezi tena kusahau aka move on basi aendelee kuitwa shemeji
uwiiiiiiKama unaweza pata mwanamke ambaye atakuwa tayari kuzaa mtoto na wewe; fanya hivyo then chukua mtoto wako lea. Mimi nimeoa mwaka wa sita sasa sioni faida yoyote,
Hao watoto ata adopt?
Kama hana imani na wanawake asahau wana exist aendelee na maisha yake. Kila mmoja angeamua based on past experiences ni wachache sana wangekubali kuolewa/kuoa.
Kama ameona hawezi tena kusahau aka move on basi aendelee kuitwa shemeji
Kama huwaamini usioe kabisa.
Ukiwa na watoto ni familia tosha. Watakupa furaha na amani.
Ndoa as ndoa sio muhimu kwa sasa, utajikuta unaishi maisha yasiyo na furaha.
Nyie ndio mnaopelekea watoto kuishi kinyonge,
Pia hao watoto anazaa na wanaume, paka, mbwa au??? Maana kama wanawake anawaona hawafai ni vema adili na hao niliowataja.