Mr.kibulala
Member
- Nov 8, 2011
- 58
- 20
Kwa ufupi/kiwango kidogo sna na mpongeza CAG(Utouh)kwa yeye mwenyewe kua na dhamira ya dhati,ila kwa watumishi wake kutokuwa waaminifu/mafisadi hasa wakati wakufanya ukaguzi ambao ripoti upelekewa mkubwa wao,kwani nao ni walaji wakubwa wa rushwa hasa ktk halmashauri wakifika kukagua upewa takrima mf malazi, chkula angali upewa perdiem na ofic ya CAG, na baadae udai fedha(rushwa)kutoka kwa wakurugenzi ili wafiche ukweli,na hli lipo ktk mkoa wa kagera wamezidi mf ktk kaguzi moja wanadai zaidi ya 14m ili kuficha madudu.
Kwa hali hyo %kubwa ya ripoti za cag hazina ukweli kwa kiasi kikubwa na zinazotoka ni kwa wale waliokataa kutoa rushwa/kulifanyika special auditing.kwa ufupi nchi iko corrupt mno.NAWASILISHA M4C DAIMA