Sina hela lakini wanawake wananitongoza

Utakuwa umechukua nyota yangu maana sikuizi hao mademu wajilengeshi kwangu hawanitongozi kabisa wanakimbiaga[emoji2357][emoji2357]
 
Utakuwa umechukua nyota yangu maana sikuizi hao mademu wajilengeshi kwangu hawanitongozi kabisa wanakimbiaga[emoji2357][emoji2357]

Njoo uchukue nyota yako Mkuu, nipe nyota ya pesa kama unayo kumradhi
 
ZA KUFIKIRIKA SANA HIZO, HAO WENYE KIPATO NA BIASHARA NZURI SI NIWAKUAJIRI KWENYE OFISI ZAO AU BNESS ZAO KAMA NI KWELI WANAKUPENDA

Nimejiajiri Mkuu, ni ishu ya muda kila kitu kitakuwa sehemu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…