Sina hamu ya kupenda...

Dah smtymz lv inazngua bt uxpe nafax feeling zako kutawala maixha yako ipo utapata upendae be flexible ma frnd
 
Hv tuanzie hapa nn sababu ya kutendwa?! Hv mwanaume anazaliwa msaliti au ni maisha ya mahusiano anayopitia ndo humfanya awe na roho ya chuki na kisasi. Pole dadangu kwa yaliokukuta jitahidi kuvumiloa ipo siku aliekuumba atajua haja ya moyo wako kwa wakat huooo...
 
Pole sana dada angu huyo si wako,wako yupo anakusubiri atakaekupenda mpaka utamsahau huyu mwanaume hovyo asiyejali utu,ila nakushahuri SIKU ZOTE usimpende mtu ambaye hujamchunguza kama na yeye anakupenda kwa dhati ama ni mpitanjia,matokeo yake ndio hayo,wanaume tunaojua kupenda na tumetulia tupo msipende kujumuisha wanaume wote tabia zao sawa SI KWELI, ni wewe mwenyewe ulimpenda mtu asiyesahihi kwako maana huyo unaemuona mbaya anae mwanamke anaempenda na haongei kitu kwake. Jipange upya tuliza akili sahau yote,jiheshimu fanya mambo yako mwisho wa siku UTAPATA MWANAUME SAHIHI KWAKO, hata kama umempenda mwanaume sana kuwa na subira mchunguze vizuri mpe mitihani mwisho wa siku utajua kama ni mtu sahihi ama lah! Pole sana mamie.
 
Pole sana, songa mbele maisha bado yanaendelea,mpende akupendaye asiyekupenda achana naye
 
pole mwaya, ni ngumu ila utasahau, usiache kupenda na ukipenda usikumbuke kutendwa
 

asante kweli hapo umenena,pengine yy hana time ila wote mmenishauri vizuri kwa sasa acha niangalie maisha yangu.
 

asante sana nashukuru,ntazingatia ushauri wako..ila hata yeye miezi sita ya mwanzo alinifanya nijione malkia,hii ikafanya nizame zaidi na kumpenda sana.sikujua kuwa ipo siku itabaki stori iliyobeba maumivu,najipanga niendelee na maisha cku moja ntafanikiwa wa maisha.
 
Pole sana mpendwa wangu labda huyo jamaa hakuwa chaguo lako.so jipe MOYO magembeh u nawe tena
 
Kujiendekeza tu... Jipende kwanza.
 

Siku zote wanasema huwezi ona umuhimu wa ulichonacho hadi kikutoke, pole ipo siku atakukumbuka
 

Pole sana prettydiva. Kuna siku bibi aliniambia kuna baadhi ya wanaume ni kama mbwa tu. Yaani unaweza kuwa na mbwa wako ukamhudumia vizuri na ukampa chakula kizuri tu, mbwa hula na anashukuru sana lakini pia akitoka nje hata akikuta mavi ya mtoto huyo mbwa atakula na kushukuru sana vilevile.

NB:
1. Samehe, kung'uta mavumbi, songa mbele. Yupo wa kwako Mungu aliyekuandalia. I believe you deserve the best.
2. Jiweke busy na shughuli zako za maendeleo, mazoezi, na kitu unachopendelea utamsahau tu.
3. Usagawe tena papuchi hadi ufunge ndoa.
4. Usikubali mahusiano ya bf/gf ya muda mrefu yasiyokuwa na mwelekeo wa maisha yenu ya baadaye.
5. Sio wanaume wote wako hivyo, wapo wazuri wasiokuwa na tabia kama za Emmanuel.
Always remember that your present situation is not your final destination. The best is yet to come!
 
Last edited by a moderator:

mahaba,mapenzi,mapendooo!!
hahaa kizungumkuti!!pole bi dada!!
 

Sure! Akukumbuke asikukumbuke to hell! Na wewe pia delete mpaka kwenye recycle bin!
 

Dah... Huu ujumbe umenitach screen.......
 
Pole hakupangwa kuwa wako wa milele Shukuru Mungu hujui kakuepusha na nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…