prettydiva
Senior Member
- Feb 19, 2014
- 101
- 39
pole mama wanaume ndo walivyo hata uwalambe bado wanamipango yao moyoni
Nurse na wewe unaangukaga?.maana nakuona uko smart kweli kweli.Pole...ukianguka unajikunguta vumbi na maisha yanaendelea!
hata mimi nimetendwa kama wewe..nina uchungu na maumiv makal sana..wanasema ndege wawil wanaofanana huruka pamoja...
Nilikupenda sana emmanuel lakini katu hukuthamini penzi langu,ulipoumwa nilikubembeleza kwa maneno matamu uone jinsi gani nakujali na kukutakia uzima,ulipokasirishwa kazini bado nlikutia moyo,maumivu yako pia niliyabeba ili kukupnguzia uzito lakini wewe hukuthamini penzi langu katu..mapenzi yako kwangu yalishuka kila siku hupigi simu hadi nipige,tunaishi dsm hii wote lakini inapita hata miez 3-4 hatuonani hadi nibembeleze sana,kila nilichokuomba ulidai huna ilihali ulkuwa navyo.miaka yako 32 ilinifanya mwanzoni nkuone nmepata kuwa utawaza familia kumbe umri co tabia...machozi yangu hukuyajali wala kunithamini,nilikupenda sana emmanuel mwezi uliopita nilikutamkia tuachane nikajua ni gia ya kukubadilisha ndo kwanza ukasema nenda ili uendelee na wanawake wengine..(wanaume wapendeni wanawake wanaoonyesha kuwapenda kwa moyo kwani mtakuja kujuta baadaye)hyu niliyempenda hakunithamini ipo siku atanikumbuka..
Nilikupenda sana
emmanuel lakini katu hukuthamini penzi langu,ulipoumwa nilikubembeleza
kwa maneno matamu uone jinsi gani nakujali na kukutakia
uzima,ulipokasirishwa kazini bado nlikutia moyo,maumivu yako pia
niliyabeba ili kukupnguzia uzito lakini wewe hukuthamini penzi langu
katu..mapenzi yako kwangu yalishuka kila siku hupigi simu hadi
nipige,tunaishi dsm hii wote lakini inapita hata miez 3-4 hatuonani hadi
nibembeleze sana,kila nilichokuomba ulidai huna ilihali ulkuwa
navyo.miaka yako 32 ilinifanya mwanzoni nkuone nmepata kuwa utawaza
familia kumbe umri co tabia...machozi yangu hukuyajali wala
kunithamini,nilikupenda sana emmanuel mwezi uliopita nilikutamkia
tuachane nikajua ni gia ya kukubadilisha ndo kwanza ukasema nenda ili
uendelee na wanawake wengine..(wanaume wapendeni wanawake wanaoonyesha
kuwapenda kwa moyo kwani mtakuja kujuta baadaye)hyu niliyempenda
hakunithamini ipo siku atanikumbuka..
Pole mwaya. Ndo unakomaa sasa, achana nae anakuwekea kiwingu huyo. Tulia, kuna siku hamu ya kupenda itakuja automatikale