MtuFulani8
Member
- Jun 27, 2015
- 92
- 21
huna hamu sababu huma mwanake. Mimi hapa nimechoka kuitwa senior bachelor, natafuta mkeRejea kichwa cha habari hapo juu!! Mm nimekosa hamu ya kuishi na mwanamke kwa muda mrefu sasa! Japo cjaoa lkn nimebaini kwamba hili ni tatizo na linahitaji ufumbuzi maana hakuna namna muda ukifika itanibidi kuishi na mwanamke! Hivyo naomba ushauri jinsi ya kulitatua tatizo hili!! Thanx in advance!!
sasa hamu ya kuishi tu au kula tunda pia? km na tunda pia Mzee kula vyakula vyenye zink, ( ngano isiyokobolewa) pia kula mbegu za mlonge mbili kila siku. Unakoelekea sipo kabisaa
Rejea kichwa cha habari hapo juu!! Mm nimekosa hamu ya kuishi na mwanamke kwa muda mrefu sasa! Japo cjaoa lkn nimebaini kwamba hili ni tatizo na linahitaji ufumbuzi maana hakuna namna muda ukifika itanibidi kuishi na mwanamke! Hivyo naomba ushauri jinsi ya kulitatua tatizo hili!! Thanx in advance!!
Baki hivyo hivyo..kwani lazima kuoa
sasa hamu ya kuishi tu au kula tunda pia? km na tunda pia Mzee kula vyakula vyenye zink, ( ngano isiyokobolewa) pia kula mbegu za mlonge mbili kila siku. Unakoelekea sipo kabisaa
Ukihama ccm utapata ham ila ukibak huko utakosa vtu vitam
Umenichekesha sana mkuu ulivo jump kwa konklushen
Mm mpaka ss cna chama japo nina kitambulisho cha kupigia kura! Nasubiria hiyo October! Lkn suala la kuishi na mwanamke bado linanisumbua kichwa! Coz napata hofu kumkabidhi moyo wangu mwanamke hasa ktk ndoa!! (Kiapo)
Uli overdo ujanani ama imekuwaje kuwaje?
Kuna binti anaitwa atoto humu ebu muite atakusaidia ila pole sana
hamisha roho yako toka ccm usizuge eti huna chama
btw km huna hamu ya mwanamke jaribu mwanaume mwenzio. anaweza akakufaa
huna hamu sababu huma mwanake. Mimi hapa nimechoka kuitwa senior bachelor, natafuta mke
Lol!! Mwanaume tena!!? Nahitaji kupata mtoto!
iende Love Connect