Ndugu zangu nafurahi kuona tupo pamoja.
Tangu Juma tano nikiwa na jamaa zangu watu wanazunguzia maambukizi ya HIV nikiingia jamii forums nikakutana na masimulizi ya namna hiyo hiyo hadi hii leo kuna uzi wa namna hiyo hapa,haijatosha nikaangalia Television nikaona tamthilia ya hivyo hivyo.
Imenifanya kutafakari kila wakati hata nikikutana na mwanamke njiani wazo linarudi kwenye HIV naona kila mtu simuamini tena. Hii hali imenifanya kukosa hata hamu ya tendo hata ndoa dushe haisimami, sijui nitarudi lini kwenye normal, wenzangu haiwapati hiyo hasa unapopata mara kwa mara habari za HIV au ni woga wangu tu.