Sina hamu na ndoa tena.

Mzee wa Rubisi usichangie hoja wakati umesha jipigia Rubisi,hapa nipazuri sana pa kupata maoni,unapata maoni ya watu wa aina mbali na kuchambua mwenyewe.
 
mwache aende ataarudi tu so matter you didnt anything wrong jiamini.
 
Duh! Tatizo lake ni moja tu! Kwa vile anaona hajapata mtoto! Anahisi mayb unajaribu kutafuta mtoto nje! Mkalishe chini umweleze na umhakikishie she is still the one and only
 
Mapenzi na wivu vinaendana sana
 
Hiyo mbona kesi ndogo sana au na wewe una jambo lingine ambalo hujaliweka wazi humu. Halafu sisi jinsia ya kiume huwa hatulalamiki mitandaoni kuhusu haya mambo ya vyumbani mwetu. Tafakari chukua hatua!!!
 
Hii jamii ya kike haitabiriki ndugu unaweza fanya yote hayo na bado asiwe na imani na wewe. Hiyo ya 6 naona kama imekaa kimaigizo zaidi na hapo ndio ataanza kuhoji iweje aniambie nakupenda kila wakati au kuna jambo kafanya anajaribu kuficha?
 

Huyo ni wa kumuolea mke mwingine,wivu utaisha!! tena fanya hivyo haraka.
 

Huyo ni wa kumuolea mke mwingine,wivu utaisha!! tena fanya hivyo haraka.
 

Mkuu huyo kesha jistukia. Anatafuta gia ya kutokea. Hajiamini tena. Wakeupman!!@
 
Ebola ugonjwa hatari unaoenea kwa kasi.dalili zake ni homa kali,maumivu ya kichwa na kutokwa damu sehemu za wazi.
 

Mwache aendeee mona atarudi mwenyewe tuu.
 
Mkuu 2005 hadi 2014 anazalia chooni tu? Mpe likizo ya miaka 9.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…