Wakanda2021
Member
- Apr 27, 2013
- 70
- 8
from experience............ wangari chukua huu ushauriDont expect too much, because that too much can hurt u a lot...
Siyo kila mtu anaanzisha relation na wewe anataka kukuoa.
Kesi nyingi za kuumizwa zinakuja coz of too much expectations.
Habari wana Jf? Mko ndani ya mahusiano na mwenzako,mkajikuta mkipiga story story siunajua tena mtu unapotaka kujua msimamo wa mwenzako, mara ukachomekea swali ukajibiwa hivi " sijawahi kufikiria kuoa na wala sina mpango wala wazo hilo". Nahitaji ushauri kutokana na jibu hilo.
Dont expect too much, because that too much can hurt u a lot...
Siyo kila mtu anaanzisha relation na wewe anataka kukuoa.
Kesi nyingi za kuumizwa zinakuja coz of too much expectations.
mke au mume huwa haji tu,yaani eti umekaa akaja tu akakuoa au ukamuo?hiyo haipo.lazima ushawishi na utengeneze mazingira ya kuoa au kuolewa.u must pay the price to get what u want.nothing comes on a silver plate
mzuri sana huyo kasema ukweli wake wewe tu kichwa maji hutaki kumwelewa ila inabidi umwelewe.
Hapo ni kuchuna tu kwa kwenda mbele we chuna mchune weeeeee kama hachuniki au hana hela mtupe kuleeee ya nini kuwa na mahusiano yasiyokuwa na maisha au faida??matokeo yake mnaachana umri umeenda??huna ulichokivuna zaidi ya kukuacha na sugu na kei.
Haaaaaa inahusu embu shtuka chukua hatua bana!!!!
Chuna sana matokeo yake unaambulia mgeni aloimbwa na captain Komba
Alafu wanawake wanavyopenda kuolewa...... hahahahaah poleni...............