Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,604
Haya yote kasababisha fisadi Lowasa kwakuwa ameondoka subiri maendeleo tu hili fisadi Lowasa liliharibu sana nchi yetu jizi sana hili zee.Katika gazeti la The Guardian la tarehe 28 August 2015 inaripotiwa kwamba Magufuli kasema " we will end the shame in our schools". Kwa kiswahili chepesi ni " tutamaliza aibu kwenye shule zetu".
Najiuliza maswali
1. Magufuli anaona shule zetu zinatia aibu. Je aibu hii kaleta nani? imeletwa na UKAWA au rais anayemaliza kipindi chake au kama wanavyosema wengi " miaka 10 iliyopotea?
- Je Magufuli anaona ukweli kwamba watanzania wamepoteza miaka hiyo 10? Je anaanika udhaifu wa serikali ya Kikwete?
Kwenye gazeti la NIPASHE la tarehe 28 August 2015, Magufuli amesema " Nikishinda sina deni la fadhila". Sote tunaelewa kwamba serikali inayomaliza kipindi chake au miaka kumi iliyopotea, kulikuwa na ulipa fadhila sana. Je Magufuli anampiga dongo JK?
Simwelewi Magufuli
Katika gazeti la The Guardian la tarehe 28 August 2015 inaripotiwa kwamba Magufuli kasema " we will end the shame in our schools". Kwa kiswahili chepesi ni " tutamaliza aibu kwenye shule zetu".

Ukiwa mjinga kama wewe unaweza usimwelewe magufuli lakini ukiwa mwelevu lazima umwelewe magufuli.
Haya yote kasababisha fisadi Lowasa kwakuwa ameondoka subiri maendeleo tu hili fisadi Lowasa liliharibu sana nchi yetu jizi sana hili zee.
We nawe. Unafikiri Lowassa siyo mwanaCCM? Hizi wiki tatu alizokaa UKAWA ndiyo zimebadili mfumo wake wa kufikiri, moral compass yake na life philosophy? Mweh!Elewesha wewe mwerevu, maana naona Magufuli anakuwa mpinzani wa serikali yake na chama chake. Huwez kuwa uko ndani ya serikali halafu useme nitaleta maji, elimu bora, kama watanguliz wake waliahidi hayo yote, je anadeclare walishindwa? Amegeuka kuwa mpinzani, maana hana namna itabidi aseme madhaifu, ambapo kiuhalisia ilibidi Wapinzani waseme hayo.
Lakini afanyaje wakati mfumo aliomo ni mbovu. Hakika namuonea huruma mzee Magufuli maskini yeye binafsi ni mchapakaz, mfumo ndo mbovu na huko mbele utamyumbisha sana, na hana namna kuwa huru nje ya mfumo. Pole yake sana!
Ukiwa mjinga kama wewe unaweza usimwelewe magufuli lakini ukiwa mwelevu lazima umwelewe magufuli.
Chuki hubadili mfumo wa kufikiri.We nawe. Unafikiri Lowassa siyo mwanaCCM? Hizi wiki tatu alizokaa UKAWA ndiyo zimebadili mfumo wake wa kufikiri, moral compass yake na life philosophy? Mweh!
Chuki kwa nani? Ufisadi? CHADEMA? CCM?Chuki hubadili mfumo wa kufikiri.
Bora hata mngemtoa kwenye tano bora.Chuki kwa nani? Ufisadi? CHADEMA? CCM?