MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 573
- 573
..
Analeta mambo ya shule eti mwalimumkuumamake?
Kuna binti hapa mtaani kwetu simuelewi, mwanzoni sikua na story nae ila baada ya muda akanizoea tukaanza kuchangamkiana kama kawaida mpaka ikafikia some times anakuja home ,ananitumia salam kila akikutana na sista angu na kadhalika., ila huyu kila nkimwomba namba ananipiga chenga nyingi ..ooh mara sina simu(wakati anayo), na visingizio kibao...kifupi tuu hataki kunipa namba ake, sasa nkiamua kumpotezea yeye bado ananitafuta yani hata simwelewi...wataalamu vipi hapo!
Huyo sitaki nataka sasa kama anakuja home mvutie kwenye movie Kidog alafu usifanye makosa siwez kusema naogopa TCRA waseje kunitafuta lol