goldie ink JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 5,634 Reaction score 9,153 Apr 8, 2018 #61 Shunie said: Fanya mambo yako mdada Click to expand... [emoji15] mambo gani
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,400 Reaction score 465,167 Apr 8, 2018 #62 goldie ink said: [emoji15] mambo gani Click to expand... Huyo mwanaume hampendi akili kichwani mwake
goldie ink JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 5,634 Reaction score 9,153 Apr 8, 2018 #63 Shunie said: Huyo mwanaume hampendi akili kichwani mwake Click to expand... Mapenzi huja automatic. [emoji87] [emoji85]
Shunie said: Huyo mwanaume hampendi akili kichwani mwake Click to expand... Mapenzi huja automatic. [emoji87] [emoji85]
McCarthy JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 506 Reaction score 554 Apr 8, 2018 #64 goil said: Alifika kunichukua nauli kila kitu alinighalimia na ya kurudi pia na ela kanipa ya kutumia Click to expand... Nonsense kabisa ...wewe kama unajirahisi hivyo..."alifika kunichukua" "nauli kila kitu alinigharamia" Acha mbunye ichunwe kwanza usomeke halafu akudampu
goil said: Alifika kunichukua nauli kila kitu alinighalimia na ya kurudi pia na ela kanipa ya kutumia Click to expand... Nonsense kabisa ...wewe kama unajirahisi hivyo..."alifika kunichukua" "nauli kila kitu alinigharamia" Acha mbunye ichunwe kwanza usomeke halafu akudampu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,400 Reaction score 465,167 Apr 8, 2018 #65 goldie ink said: Mapenzi huja automatic. [emoji87] [emoji85] Click to expand... Hahahahaah kwahiyo huyu mdada atakuwa analadhimisha
goldie ink said: Mapenzi huja automatic. [emoji87] [emoji85] Click to expand... Hahahahaah kwahiyo huyu mdada atakuwa analadhimisha
flood Senior Member Joined Jul 10, 2017 Posts 131 Reaction score 202 Apr 8, 2018 #66 goil said: Ila akiongea kwenye simu anawaambia nipo na wife amefika kunitembelea na ananipa simu pia niongee nao shida kuna siku mmama akamuuliza huyo ndo mke wako akatabasamu tu hakujibu chochote Click to expand... Worry not, kama kwao wanataarifa na kwenu basi hakuna shida hapo, pengine hakupenda huyo mmama ajue mambo yenu, wamama wengine nuksi.
goil said: Ila akiongea kwenye simu anawaambia nipo na wife amefika kunitembelea na ananipa simu pia niongee nao shida kuna siku mmama akamuuliza huyo ndo mke wako akatabasamu tu hakujibu chochote Click to expand... Worry not, kama kwao wanataarifa na kwenu basi hakuna shida hapo, pengine hakupenda huyo mmama ajue mambo yenu, wamama wengine nuksi.