sasa kama ndoa bado we unataka kulazimisha kuitwa wife?Ila akiongea kwenye simu anawaambia nipo na wife amefika kunitembelea na ananipa simu pia niongee nao shida kuna siku mmama akamuuliza huyo ndo mke wako akatabasamu tu hakujibu chochote
Kwa mtizamo wako basi kila jukwaa ni jukwaa la elimu. Watu hujifunza mengi Jukwaa la siasa, hujifunza mengi jukwaa la mapishi, chit chat, kilimo , ufugaji na uvuvi etc lakini ukweli huo haugeuzi thread hizo kuwa zinafaa kuwekwa jukwaa la elimu. Kuna jukwaa ambalo ni mahsusi kwa issue za mahusiano kama hii-na kule utapata mrejesho mzuri tu. Ubarikiwe.Uwe na akili ivi unapoambiwa jukwaa La elimu sio vitabu tu unapomwelimisha mtu iyo ni elimu pia.badilisha ilo neno jukwaa la elimu andika jukwaa la kujadili mambo ya darasani tu litaeleweka we vipi! Potea!
hongera,mm naona unataka tujue tu kuwa una mume na ushatolewa mahariIla akiongea kwenye simu anawaambia nipo na wife amefika kunitembelea na ananipa simu pia niongee nao shida kuna siku mmama akamuuliza huyo ndo mke wako akatabasamu tu hakujibu chochote
Aahhh jibu unaloNimezaanae na bado nipo kwenye mahusiano nae hatuishi pamoja alifika kunichukua niende kwake kipindi nipo likizo lakini kule kwake akiulizwa huyo ni mke wako anakaa kimya hajibu anaweza akatabasam tu sijui shida nini
Hahahahahaha, aiseeeHuyo ni jipu uchungu tena la kwenye kitumbua
Nimezaanae na bado nipo kwenye mahusiano nae hatuishi pamoja alifika kunichukua niende kwake kipindi nipo likizo lakini kule kwake akiulizwa huyo ni mke wako anakaa kimya hajibu anaweza akatabasam tu sijui shida nini
hujajua tu hadi sasaivi? hujui kusoma hata picha kuangalia hujui? what else do you need kupata ukweli?Nimezaanae na bado nipo kwenye mahusiano nae hatuishi pamoja alifika kunichukua niende kwake kipindi nipo likizo lakini kule kwake akiulizwa huyo ni mke wako anakaa kimya hajibu anaweza akatabasam tu sijui shida nini
Ngumu kumeza, tia neno mkuuMmhh!!!
Nimezaanae na bado nipo kwenye mahusiano nae hatuishi pamoja alifika kunichukua niende kwake kipindi nipo likizo lakini kule kwake akiulizwa huyo ni mke wako anakaa kimya hajibu anaweza akatabasam tu sijui shida nini