Habari.
Nimejikuta namchukia mke wangu.
Nimejikuta simpendi tena.
Kufupisha story kuna mwanamke niliibahatika kuzaa nae hivyo nikaamua niendelee kuishi nae na kutoa mahari kwao.
Ila kwa sasa tuna miaka 2 ila tabia alizoluwa nazo mwanzo tofauti na leo.
Amekuwa ni mtu wa matusi tena ya nguoni ,dharau ,kiburi ana matumizi mabaya ya hela ambayo yamenipelekea niwe mtu wa madeni maana mshahara wangu ni wakaiwada.
Mwanamke Mwenye kujinunisha,kukasirika na gubu na asiyekuwa na muda na ndugu zangu.
Kiukweli mambo ni mengi lakini naomba nifupishe nataka nimuache.
Ninavyoongea hivi Tuna wiki 2 hakuna anayeongea na mwenzake na tuna lala kitanda kimoja.
Ila anadai nikimuacha ataniua