Simulizi inayozungumzia maisha ya kweli ya kijana aliyezaliwa katika kijiji maskini na chenye kila aina ya watu wakati huo huo akiwa katika safari ndefu ya elimu.
Je, anafanikawa kumaliza masomo yake ili aiokoe familia yake au ataishia kuwa mtoto wa mtaani.
YOTE UTAYAPATA NDANI YA SIMULIZI HII IITWAYO #MY DREAM.
View attachment 890060