Simulizi yenye funzo

Iko njema hii.. imenikumbusha mwaka jana mwishoni nilifikia uamuzi wa kuuza mradi wangu ambao ulikuwa haufanyi vizuri kwa miaka miwili sasa..
Mapato yote yalikuwa yanaishia kwenye uendeshaji wa mradi pamoja na kulipa vibarua,tena ilikuwa haitoshi ilinibid nitoe tena pesa yangu mfukoni kwa ajili ya uendeshaji...

Nikaona bora niuze tu,ndugu pamoja na wengine walio kuwa wananufaika kwa namna fulani kupitia mradi,walinikalia kooni wakipinga kuuzwa kwa mradi.
Japo walikuwa hawanidai chochote,maana walikuwa wanalipwa kama vibarua wengine kutokana na kazi walizo kuwa wanafanya.
Nilisimamia uamuzi wangu, juzi ilibid niuze japo kwa hasara 7mil..
Ila kwa tathmini yangu,naona nmetua mzigo mzito ulio ninyonya kwa 2 yrs...ambapo ningeendelea nao kwa mwaka mwingine ningepigwa sio chini ya 3mil katika uendeshaji.

Lakini ndugu pamoja na wote walio nufaika na mradi hawaangalii hayo..hivo tuwe makini na wanao tushauri.
 
Mshana Jr huyu mtu wako ana hakika gani kwamba angesikiliza moyo wake mambo yangemnyookea? Kwanza anaonekana ni mpuuzi tu, wewe mtu upate zabuni halafu uanze kugawa pesa?!!
 
Iko njema hii.. imenikumbusha mwaka jana mwishoni nilifikia uamuzi wa kuuza mradi wangu ambao ulikuwa haufanyi vizuri kwa miaka miwili sasa..
Mapato yote yalikuwa yanaishia kwenye uendeshaji wa mradi pamoja na kulipa vibarua,tena ilikuwa haitoshi ilinibid nitoe tena pesa yangu mfukoni kwa ajili ya uendeshaji...

Nikaona bora niuze tu,ndugu pamoja na wengine walio kuwa wananufaika kwa namna fulani kupitia mradi,walinikalia kooni wakipinga kuuzwa kwa mradi.
Japo walikuwa hawanidai chochote,maana walikuwa wanalipwa kama vibarua wengine kutokana na kazi walizo kuwa wanafanya.
Nilisimamia uamuzi wangu, juzi ilibid niuze japo kwa hasara 7mil..
Ila kwa tathmini yangu,naona nmetua mzigo mzito ulio ninyonya kwa 2 yrs...ambapo ningeendelea nao kwa mwaka mwingine ningepigwa sio chini ya 3mil katika uendeshaji.

Lakini ndugu pamoja na wote walio nufaika na mradi hawaangalii hayo..hivo tuwe makini na wanao tushauri.
Hata hivyo huwezi jua, vipi kama mambo yangerekebishika na ukapata faida?
 
Tatizo hujui unacho ongea,sio mradi wangu wa kwanza huu kufanya.. siwezi nikaendelea kushikilia kaa la moto, wakati kuna exit strategy.means now ningeingia mwaka wa tatu ni muendelezo wa maumivu..
 
Mkuu hujanisoma tu. Simaanishi kwamba najua mradi wako ila kiukweli hakuna ajuaye yajayo, tunakuwa na matarajio tu kulingana na historia na sababu nyingine mbalimbali za kimazingira. Lakini pamoja na hayo yote haiondoi ukweli kwamba huenda ungebaki na huo mradi hali ingekuwa tofauti na matarajio yako. Hata hivyo hii haina maana kwamba ninasema uamuzi wako haukuwa sahihi, hapana, nilichofanya ni kuweka kadi zote mezani.
 
Back
Top Bottom