Simulizi ya Oktoba 29

kuna jambo moja sioni ukilitaja.

watu(waandamanaji) kulaghaiwa , kwamba mipango yote ipo tayari kinachosubiriwa ni wao tu kutoka na mapema asubuhi biashara inakua imeisha, --- jambo hili halikutimia na sjaona ufafanuzi wake kutoka kwa wanaharakati au hata mtu mmoja mmoja alokua ni supporter wa maandamano
 
Damu za watu sio maji
Mtalipa TU ule ushenzi mliofanya wa kumwaga damu za raia wakiwa majumbani kwao
 
Ahaaaa ahaaaaa ahaaaaa hapa ndo nilipowaona watanzania ni manyumbu haswa na wamejifunza kweli kweli, nilikuwa namchukia kiboko ya wachawi anatuitaga watanzania nzige wa kuliwa , na KWELI WATU WALIMUAMINI MANGE KULIKO AMIRI JESHI MKUU, ingekuwa enzi ya magu mpaka leo watu wangekuwa wanaliwa pole pole waliohusika sema huyu mama ana huruma sana, EDORGAN wa utuuki walimjaribu 2017 alikula vichwa vya wanajeshi elfu 8000 na raia elfu 32000 shenzi kabisa
 
kama kuna msiba mkubwa uliodhihirika ni tafakari sahihi ya sisi wananchi, kila mtu alikua na "za ndani" we sahivi unaona za ndani popote pale? nini kimetokea?

unaingia mtandaoni mfano dec 9 au dec 25 unakutana na sarungi anaclip hazieeleweki hata ni nini na zingine yeye mwenyewe alipost tarehe za nyuma huko na anazipost upya anakwambia hapa ni mahali fulani (loation tofauti na ya mwanzo) wameshaanza hivyo unganeni nao --- hizi ni harakati za kuingizana mkenge na hazina afya

wahusika na supporters wajitafakari
 
Ndgu umemwaga damu isiyo na hatia subiri majibu.elewa unapambana na nature (nguvu ya asili ambyo inamilikiwa na MUNGU na yy ndye hakimu wa haki)
Mkuu damu za watu zinamwagwa duniani kila siku kwa sababu mbalimbali.

Huko USA katika taifa la watu milioni 341 wanakufa kila siku watu 1500 kwa kesi za mauaji dhidi ya ubinadamu (crime against humanity) aina ya mauaji yaliyotokea nchini mwetu October 29. Nani umemuona katika viongozi wa taifa hilo akisumbuliwa na hizo damu za watu wasio na hatia?.

Hitler aliuwa watu milioni 10 wayahudi yaani damu isiyo na hatia ya watu milioni 10 ilimwagika wakati na kabla ya vita kuu ya pili ya dunia. Tanzania yetu inaweza kuifikia Ujerumani kimaendeleo?.

Mnachosahau ni ukweli kwamba kila mtu anayo haki ya kumlilia Mungu. Huyo SSH mnayemuita muuaji kila siku anafunga na kumwomba Mungu.

Tujifunze kuheshimu sheria, uhuru wa kuongea na kusikilizwa una mipaka yake.
 
Wanaharakati wanamsema Rais SSH kwamba kaua watu huwezi kuwasikia wakimsema Mange au Maria kwa sababu hao wawili walikuwa walipaji wakubwa wa ujinga wote uliofanyika, hauwezi kuwasoma wanaharakati wakiisema dhambi ya bosi wao anayewawakilisha kwenye suala la kuvuna pesa kwa wazungu.
 
Reactions: Lax
Ile audio iliyonaswa wanasikika jamaa waliopo Kenya wakiwaambia waingie barabarani tarehe 9 Desemba kwamba yale ni maandamano yasiyo na ukomo, huyu jamaa wa nchini anasikika akisema huko barabarani kuna ulinzi mkali hakuna mtu anayeweza kutoka nje!.

Yaani yule mpuuzi wa Kenya akiwa kwenye chumba na laptop yake anataka kumponza huyu wa Tanzania aingie mtaani akauliwe na maaskari ili video ziweze kurushwa huko Al Jazeera na CNN kuichafua nchi hii!.

Ikitokea huyu wa TZ akaingia mtaani akapigwa risasi lawama anapewa SSH huwezi kumsikia yule mpuuzi wa Kenya akitumiwa lawama na media yoyote ya kimataifa.

Wametumwa damu hawa washenzi hawawezi kujali kwamba uhai ukiondoka haurudishwi tena.
 
Reactions: Lax
wasaidie tu kuwa Israel anaua mpaka machozi yanatoka na ndo kwanza anabarikiwa zaidi, China kanyonga sana miaka ya 80 sasahivi adabu tele
 
aiseee kuna jamaa anaitwa EZRA na kakachungura wa kenya sijui wanalipwa sh ngapi kila siku post nne mpaka tano za story za tanzania tu na kutuchochea na nyumbu wachche wanatka kuamini
 
wasaidie tu kuwa Israel anaua mpaka machozi yanatoka na ndo kwanza anabarikiwa zaidi, China kanyonga sana miaka ya 80 sasahivi adabu tele
Wajinga sana hawa madogo, kuna mtu kawaambia damu huwa inalia huko kaburini.

Hawawezi kuongea ukweli kwamba Mfalme Daudi mchana askari wake waliwachoma mikuki na kuwaua maaskari wa kigeni halafu usiku alikuwa akikaa chumbani na kuandika Zaburi tunayoisoma mpaka leo.

Rais anapoapa maana yake kiapo chake kinatambuliwa na Mungu pia.
 
Aiseee kile kimama kitapeli sana eti anashawishi watu tuingieni mtaaani tukiwashe kwa wingi , wakati wao hawatoki hata kumzika baba yake tu hakuja ila anakuambia toka kakiwashe, vile vimalaya vishenzi kabisa nahamu nisikie siku ameshikwa aiseeee ntaomba kazi ya kumshughulikia walahi mwaka mzima nimle nyama kidogo kidogo mpaka aishe
 
Ahaaa ahaaaa na karibi wafalme wote wakubwa waliua uua sana maadui ina maana mungu mwenyewe anajua kuweka discpline
 
Puuzi kama ww unakaa unajizima data kisa umepewa buku 7.Hivi huoni machafu yanayofanywa na viongozi huoni wizi wa mali asili zetu mikataba ya hovyo wakaja na uchaguzi na wizi mpaka wa roho za watu hao huwaoni kua ndo walifadhiliwa kuja kuharibu amani yetu??Hivi nikuulize ww panya nchi hii ndo tulipigania uhuru ili ccm ije ijimilikishe nchi ama wananchi ndo wawe na maamuzi na nchi yao
 

Upuuzi mtupu.

This is really crap.
 
Hakuna mtu aliyelaghaiwa bali watu wamechoka upuuzi wa serikali dhalimu ya CCM kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kufanya chaguzi za kiini macho.Uchaguzi ungekuwa huru na haki hakuna hata mtu mmoja angekufa.
 
Hakuna mtu aliyelaghaiwa bali watu wamechoka upuuzi wa serikali dhalimu ya CCM kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kufanya chaguzi za kiini macho.Uchaguzi ungekuwa huru na haki hakuna hata mtu mmoja angekufa.
ukimya wa D9 ni kielelezo kwamba hapo awali kuna taarifa hazikua sahihi, kuhusu kuchokwa kwa ccm hilo wala halina mjadala maana lipo wazi, kilichowaingia watu road na kufanyika kilichokua kinafanyika ulaghai ndo uliongoza msukumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…