Simulizi ya Kijasusi: Safari ya Gavin Luca

Simulizi ya Kijasusi: Safari ya Gavin Luca

Nashindwa kujisajili kule fasihinet mkuu kuwez kuimalizia stori
Hamna option ingine ya kuipata mfano watsap tukachangia wino kidogo😀😀😀😀
Pole kwa changamoto...

Nicheki WhatsApp kwa hii namba +255621567672
 
Nazidi kukukumbusha kwamba unaweza ukaisoma simulizi hii na ya tatu yake kule Fasihinet bila kusahau simulizi zangu zingine kwa kutumia coins.

Tafuta simulizi yenye cover iliyo andikwa THE ODYSSEY OF GAVIN LUCA Kisha ukimaliza nenda kasome sehemu yake ya mwisho ambayo imeandikwa THE DARKNESS OF AN ANGEL (SIKU ZA MWISHO)

Unaweza kuingia Fasihinet kwa link hii hapa chini 👇

Attachments

  • downloadfile-35.png
    downloadfile-35.png
    300.7 KB · Views: 29
  • downloadfile-256.jpg
    downloadfile-256.jpg
    439.4 KB · Views: 34
Mambo ni moto kwelikweli, nimejikuta nikipenda harakati za Gavin Luca na mwanae juu ya serikali dharimu na watu wote wabaya juu ya wananchi. Ingetokea mtu kama huyo Tz hakika angeungwa mkono na wananchi. Yaani mtu mwenye uwezo wa kumpa masharti rais na wakuu wa vyombo vya ulinzi, mwenye uwezo hata wa kuingia ikulu unnoticed na akampiga mkwara rais then nakuondoka, ukijichanganya anakuangamiza hakika serikali zetu dharimu hizi zingenyooka na kutenda yale yanayopaswa wawatendee wananchi wao......
 
Shida kubwa ni kwamba mataifa yetu hakuna kitu kinaitwa UZALENDO....

Tulifeli kama taifa kwenye hilo kupandikiza hizo mbegu kama yafanyavyo baadhi ya mataifa kama Russia na Israel ambayo wazawa ni WAZALENDO kupindukia.
 
Mi nakaribia kuacha kusoma stories za jf zina arosto, nafatilia stories mbili tu lkn zote bado zinanipa arosto kali mpk homa zinaharibu mpk vita ya kuchill home weekends
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom