zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,484 Reaction score 27,590 Feb 6, 2021 #61 BABU KIDUDE said: Siyo krauzi ni EFM alikuwa Bdazeni mzee Click to expand... eeeeh waaah msikilize kule alafu njoo usome bandiko lake hapa utajua tofauti mkuu. ama nasema uongo ndugu yangu
BABU KIDUDE said: Siyo krauzi ni EFM alikuwa Bdazeni mzee Click to expand... eeeeh waaah msikilize kule alafu njoo usome bandiko lake hapa utajua tofauti mkuu. ama nasema uongo ndugu yangu
Ramon Abbas JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 1,961 Reaction score 3,923 Sep 22, 2021 #62 financial services said: Huo urafiki safi sana! Nawaza hivi ningeweza kweli nimpe rafiki mtaji wangu wote aaah🤔 Click to expand... Mimi nimempa ndugu yangu mtaji wangu wote ( 1 million),, tulikubaliana tukafanye biashara flani hapa jijini mwanza. nimeona gharama za kwenda huko, kula, kulala, usafiri, nk bora aende yeye mi niko napambana kivingine. bora pesa zangu zifie kwa ndugu yangu kuliko rafiki
financial services said: Huo urafiki safi sana! Nawaza hivi ningeweza kweli nimpe rafiki mtaji wangu wote aaah🤔 Click to expand... Mimi nimempa ndugu yangu mtaji wangu wote ( 1 million),, tulikubaliana tukafanye biashara flani hapa jijini mwanza. nimeona gharama za kwenda huko, kula, kulala, usafiri, nk bora aende yeye mi niko napambana kivingine. bora pesa zangu zifie kwa ndugu yangu kuliko rafiki
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,414 Reaction score 15,609 May 18, 2023 #63 zipompa said: Porojo tu Huyu bwana kuna interview nimewahi msikia alikuwa serikalini na alishafanya pia mashirika na taasisi binafsi huku akifanya biashara. Alipoona amepata mtaji akaamua kuacha ajiajiri. Leo anasema alikuwa na mtaji mdg, porojo tupu. Click to expand... Kuna watu huwa wanaajiriwa anafanya kazi hata miaka mitano anaona ana mapumbu matupu, anaamua kuacha kazi kwa mtaji mdogo kabisa na anafanikiwa.
zipompa said: Porojo tu Huyu bwana kuna interview nimewahi msikia alikuwa serikalini na alishafanya pia mashirika na taasisi binafsi huku akifanya biashara. Alipoona amepata mtaji akaamua kuacha ajiajiri. Leo anasema alikuwa na mtaji mdg, porojo tupu. Click to expand... Kuna watu huwa wanaajiriwa anafanya kazi hata miaka mitano anaona ana mapumbu matupu, anaamua kuacha kazi kwa mtaji mdogo kabisa na anafanikiwa.
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,041 Reaction score 13,380 May 19, 2023 #64 Work hard improve huu msemo wa work hard wanautmia waliojriwa ilihali wako limited with money
Shetta JF-Expert Member Joined Mar 15, 2023 Posts 445 Reaction score 798 May 19, 2023 #65 Wakala wa sembe tz