SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Vumilia mkuu muda mwingne inakuwa typng error tu kutokana na kuedit haraka kulingana na msukumo wa watu, kelele zinakuwa nyngn watu wanahtajia simuliz so makosa kama hayo yanapatikan.
wewe shusha mkuu makosa mengine tutarekebisha wakat tunasoma
 
Niko team domo zege, najua atajilia bikra ya mrembo bila kutumia nguvu
Yaani hapo umepatia kabsa, Richa ya gundu lake ila jamaa Yuko smart sana maana mtu mpaka unaamua kuishi porini na kjichukulia Sheria mkononi siyo pw kaka. 🤣😂
 
Yaani hapo umepatia kabsa, Richa ya gundu lake ila jamaa Yuko smart sana maana mtu mpaka unaamua kuishi porini na kjichukulia Sheria mkononi siyo pw kaka. 🤣😂
Busara ina mbeba
 
🤓🤓😂😂
Huyu ni Shangazi au snichi takataka

Sema Joana katisha mbele ya mshika baisikeli nyuma pazia ni Baba mkwe mtarajiwa akaizimua🙌😂.Muda wautambulisho itakuwa ni cheche💥
 
🤓🤓😂😂
Huyu ni Shangazi au snichi takataka

Sema Joana katisha mbele ya mshika baisikeli nyuma pazia ni Baba mkwe mtarajiwa akaizimua🙌😂.Muda wautambulisho itakuwa ni cheche💥
Hatari sana, sijui itakuwaje Baba atakapoona mkwe wake ndio huyo
 
Mkuu umenikumbusha mbali na mitaa ya songea😂
 
Bado tu haijatika sio kwakuchungulia huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…