SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Hapa kina dada watapita kimya wakifanya hawajawahi fanywa vichakani huku wakimcheka Hilda kumuona hafai kumbe na wao walishapitia huko, kule mtoni kuchota maji
Hahahhahaha kushikwa shikwa maziwa uku ndoo ya maji ipo kichwan
 
Hahahhahaha kushikwa shikwa maziwa uku ndoo ya maji ipo kichwan
walikuwa wanaitua wakifanya hawakatak atajifanya anakupiga ili anasogea kichakani zaidi mnamalizana huko huko,

Nakumbuka nikiwa mdogo kuna Braza alimbikiri dada Neema korongoni
 
Yaani tumewachambua wahusika wote,

Tumechambua dhamira kama zifuatazo:
1. Wivu na chuki ni chanzo mitafaruku
2. Nafasi ya mwanamke kwenye jamii(chombo cha starehe) hapo wahusika ni Hilda, Mama Hilda, sina mengi

3. Tamaa ya pesa (Idd & Twalibu)
4. Uaminifu(Higgyno)
5. Ushirikina (mzee komba na familia yake Vs mzee Mabula?
6. Ulevi- hapa wale wazee lakini nammaindi sana mzee Njogopa
 
Imebaki Moja tu✍️✍️
Nataka ianze kumwagika damu Sasa
Watu wafe, nimemisi misiba kwenye story.

Tokea yule dereva atolewe damu sijaona damu nyingine ikimwagika.
Labda damu ya bikra 😂🤣😂🤣😂🤣
 
Mimi Team Mwenyekiti Wa Msikitini 😅

Mzee wa Kusikiliza Kesi & Mashauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…