Simulizi: Milango ya mafanikio

Duu mkuu analinda mpenda ngono wake ticha tozi manukato naona
 
Uchafu?
Uchafu gani, usiwe hivyo mkuu
If you allow your opponent to enter into your mental space the battle is already lost. Don't allow her sheet to survey into your mental space. Remember mental energy and positive mental energy make you Stromg while negative emotional make you weak. It's like deposit and withdraw in your bank account. Find something that you'll deposit into your bank account and not withdraw
 
positive mental energy make you Stromg while negative emotional make you weak. It's like deposit and withdraw in your bank account

Nimekuelewa sana mkuu, hasa hii paragraph.
 
Hajalazimishwa na mtu kusoma uzii huu mwehu huyo
 
-Kama ambavyo hajashawishiwa na mtu yeyote kuja kuandika mkasa wake humu, ndivyo na ninyi pia hamjashawishiwa kuja kusoma mikasa ya Jack Daniel .

-Mnaonekana ni kwa namna gani mlivyo wapuuzi na washenzi kwa kumtusi, kumlaumu na kutumia command kwa mtu ambae ameweka mikasa yake kuwiwa kutokana na furaha yake kama ilivyo pia ninyi mnavyowiwa kusoma mikasa yake kwa hiari yenu.


-Swali: Mnavyo mtusi Jack Daniel kwa kuto kupost kwa mida mnayotaka ninyi, je na yeye akisha post huwa anawatusi kwa ninyi kutokusoma post yake kwa mda anao utaka yeye?


-Angalizo:muweni na heshima ktk vitu vya hiari na sio kujiona unayo haki ktk kila kitu.
 
Mnaonekana ni kwa namna gani mlivyo wapuuzi na washenzi kwa kumtusi, kumlaumu na kutumia command kwa mtu ambae ameweka mikasa yake kuwiwa kutokana na furaha yake kama ilivyo pia ninyi mnavyowiwa kusoma mikasa yake kwa hiari yenu.
Watu wako jobless ama hawana vitu vya kuwabana kutwa kushinda social networks utadhani ndio kazini kwake. Na ndio Mana Hawa wanafanya gb zinapandishwa. Mama hata stori usome unaburudika tu Ni sawa na chakula ulichokula juzi so umeshakisahau ama mbususu yaani imeshaisha. Ujue watu wanaendeshwa na hisia zao yaani mwili wao bila ya kutumia akili
 
Mnavyomjibu huyo mkosa akili ndo mnampa mileage muacheni abwabwaje tu
 
Nimezaliwa kwenye matus nimekulia kwenye matusi utanambia nin ww Mungu mtu ?unatuona sis watoto kusubir mda wote mpaka watu tumesahau

Nan kakwambia sina aman ya moyo ww MAKU nin

Amani ya moyo anaweza kuwa nayo mtu usiyestaarabika kama wewe. Sasa matusi ya chekechea hapa kwa watu wazima yanafikaje.

You are abnormal na bahati mbaya hujui Kama uko hauko normal.

Embu vuteni picha ya mtu mtaani kwenu anayefanana na lugha ya Huyu chekechea hapa kwa jukwaa la wazima. Mtu anayetumia viungo vya uzazi Kama silaha kwenye jukwaa Hili ni dalili ya kwanza ya uncivilized und uncouth person.

Mtu mwenye Amani angepita na kuwa na subira. Angekumbuka kuna swala la bundle. Kuna matukio ya misiba, magonjwa. Kuna kazi binafsi na hapa ni sehemu ya ziada ya kuburudisha. Wewe una Shida. Ungeimaliza huko na hao waliokusabishia ukosefu wa Amani.

Jamani mje asipotukana ujue bangi imeisha ghafla. Sonst atarudi kwa kasi. Na Sasa atataja sehemu yake ya afya kubwa.
 
Nimezaliwa kwenye matus nimekulia kwenye matusi utanambia nin ww Mungu mtu ?unatuona sis watoto kusubir mda wote mpaka watu tumesahau

Sasa kama umezaliwa huko, ndo huko malizana nao. Sasa wababe Wenzako wamekushinda huko unakuja hapa kwa kuwa una bundle. Mtu Kama wewe inawezekana kuna kadem kavutaji kenzako kamekunyima Mali na nauli ulishatoa. Sasa waja. Hapa kupambana na ukuta. Katibiwe kwanza.

Jamani anakuja na matusi
 
😂😂😂Oya wakubwa kumbe nimetukana hivi nisameheni nilikua Tungi jana dah🚶🏼‍♂️🚶🏼‍♂️
 
😃Nilikua nimelewa jana kaka tusameheane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…