Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,929
Mkuu nina ombi kwako, tufungulie hii story ya Lisa tuimalizie hapa halafu zile story zingine tutazinunua huko telegram.Namba zangu za mawasiliano ni 0786 14 67 04 na 0628 02 04 21 kwa anayetaka mwendelezo wa stori hii na nyngine nyingi za kuvutia
Tunalipia sh. Ngapi Mkuu[emoji848]Namba zangu za mawasiliano ni 0786 14 67 04 na 0628 02 04 21 kwa anayetaka mwendelezo wa stori hii na nyngine nyingi za kuvutia
Hakuna sababu ya kuufuta uzi bwashee punguza jazbaKama ni hvy uzi ufutwe tuu sasa
Wewe hapana watu tunafanya hadidu za rejea. Mimi nilishangaa upya kuusomaHakuna sababu ya kuufuta uzi bwashee punguza jazba
Vipi huko telegram umepata mwendelezo?Wewe hapana watu tunafanya hadidu za rejea. Mimi nilishangaa upya kuusoma
huku JF uliishia namba ngapi?nawakumbusha anapatikana telegram tuu hana watsup wala FB account
Book 3 kwa kitabu.Kitabu kina page 50Tunalipia sh. Ngapi Mkuu[emoji848]
700650 Kama sikosei
Story ya "LISA" hapa JF imeishia kitabu Cha ngapi? Nataka kununua muendelezo Telegram! ChubbyladyView attachment 2548561
na kama mnavoona story ni bado sanaa kuisha[emoji16][emoji2356] leteni mawazo tufanyaje??
Story ya "LISA" hapa JF imeishia kitabu Cha ngapi? Nataka kununua muendelezo Telegram! Chubbylady
Kitabu cha13 sura ya 700Story ya "LISA" hapa JF imeishia kitabu Cha ngapi? Nataka kununua muendelezo Telegram! Chubbylady
Huyu jamaa telegram haingii mara kwa mara. Toka juzi nimemtumia meseji!Kitabu cha13 sura ya 700
Ukipata ufanye na ku share hapaHuyu jamaa telegram haingii mara kwa mara. Toka juzi nimemtumia meseji!
Anazingua sana, naomba tu Chubbylady aongee naye auze kupitia kwake.Huyu jamaa telegram haingii mara kwa mara. Toka juzi nimemtumia meseji!
Hapatikani kabisa why?nawakumbusha anapatikana telegram tuu hana watsup wala FB account
Jomba wajo kazuia wengine kushare hiyo story kutokea telegram.Ukipata ufanye na ku share hapa