Simulizi: Ken alipwa mkopo

Simulizi: Ken alipwa mkopo

fired

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
233
Reaction score
521
Mwaka jana Mary aliomba Ken shilingi laki mbili za bongo kwa dharura.Ken aliogopa kumpa lakini Mary akalia Ken akakubali lakini ilibidi akope kutoka benki, kupitia simu.Mary alifurahi akasema atalipa baada ya mwezi moja. Mary alikua akituma messages kusema ameshukuru na atarudisha pesa.Siku mbili kabla ya siku ya kulipa Mary aliwacha kushika simu .Siku ya kulipa hakutuma pesa .Sasa benki wanadai Ken.

Baada ya miezi mbili mary akapiga simu akasema pole alipatwa na shida .Alidai alifutwa kazi akafungiwa nyumba ikabidi auze simu.Akasema sahii anafanya kazi ya uchuuzi .Mary akamwalika Ken kwake ili wasuluhishe Ken kufika kwa Mary alishangaa sana nyumba kubwa fenicha .Jokofu imejaa Kuku na mvinyo.

Mtu anaishi hivi atashindwaje kulipa laki mbili. Mary alimpa Ken Keki na mvinyo alafu akaingia kwa bafu kuoga .Akatoka akiwa amevaa chupi na sidiria akampiga busu ken akamwabia aende kuoga. Baada ya ken kuoga Mary akaja uchi akamwambia ya kwamba anamtamani .Mary akasema ulinisaidia wakati ule sasa leo nitakusaidia . Wakafanya mahaba nahivo ndivyo laki mbili zilipotea.
 
Mwaka jana Mary aliomba Ken shilingi laki mbili kwa dharura.Ken aliogopa kumpa lakini Mary akalia Ken akakubali lakini ilibidi akope kutoka
Dah.....acha ujinga...hakuna laki mbili iliyopotea hapo ila imetumika....Siku Mary akiwa na shida ya laki mbili nishtue 🤣 🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom