aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,673 Reaction score 3,740 May 5, 2013 #1 Kwani nyimbo zenu zisipopigwa clouds kuna shida gani mpaka mlalame hivyo redio zipo nyingi mbona jamani
Kwani nyimbo zenu zisipopigwa clouds kuna shida gani mpaka mlalame hivyo redio zipo nyingi mbona jamani
mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 477 May 5, 2013 #2 Hutamuelewa mpaka ukubari kutaka kumuelewa Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,161 May 5, 2013 #3 wabongo kwa majungu utawaweza sasa, hapo umewafikisha hata wale ambao hawanaa baya walotendewa wataanza kufwata mkumbo
wabongo kwa majungu utawaweza sasa, hapo umewafikisha hata wale ambao hawanaa baya walotendewa wataanza kufwata mkumbo