Simuelewi wifi yangu

wifiyo akiingia huko jikoni bila ruhusa yako huchelewi kuja kulalamika anakuingilia!
 
Muulize ana tatizo gani,afu muite mpige stori jikoni or sebuleni,kuwa muwazi japo in a kind way,ama muulize mumeo
smtym wageni wanakuwaga na aibu esp kama hajajakuzoea
 

Hii imekaa poa sana. Siku nyingine hawezi kuanzisha mada za kijinga na kitoto kama hii.
 
Unataka afanyekazi kwani huyo ni house girl wako?mwache alale tena me nampongeza ni mstaarabu sana ataki kujishughurisha na mambo ya hapo yasiyomuhusu

haah haah mkuu umeua! unajua kuwa na mke dizaini ya mleta uzi ni shida sana aisee.
 
Yaani unatamani aingie jikoni kwako,si ungekuja na makamasi hapa? Na pia lazima ujue hali yake,je amekuja kupumzika na kupunguza mawazo au mgonjwa?jaribu kuwa karibu na ndg na sio kununanuna na kuja kushitaki humu jf.
Timiza wajibu wako,wifi yako ni mstaarabu anayejua mipaka yake km mgeni
 
MamaBeata pitia huu ushauri tafadhali!!
 
Last edited by a moderator:
mependa ushauri huu as nimeolewa nina familia na wify ninao so naelewa jinsi ya kuwa handle hata hawanipi shida
 
Pole mleta Uzi,ILA kwa akili ya kawaida,mwanamke yeyote aliyezaliwa na Eva,lazima uwe na aibu.Haiwezekani siku ya kwanza mpaka ya tatu,mke wa mtu anatoka kazini Yuko hoi,wewe unashinda home na tv tu.Haiingi akilini,pengine mleta mada ukimya unamponza ndo maana,lakini ukweli ni kwamba,hata huyo dada hajitambui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…