mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,734
Usimchoke bhana huyo ni wako ...we muhudumie tuu..maana najaribu kui imagine angekua n. Mvulana a nakuja kusema kuwa demu wake anamlilia shidah ..weng wangesema ni jukumu LA mvulana...Leo kwavile n mvulana ndo anashida ww unaona keroo....mvumilie ...huyo ni wako ...ase....Habarini za leo wana Jukwaa hili. nipo hapa leo munishauri ndugu zangu, mimi ni mdada wa miaka 33 niliolewaga zamani ila ndoa ikaota mabawa miaka 6 iliopita. lakini pamoja na hayo bado nina hamu sana ya kuolewa cause naona mara ya kwanza hata sikuinjoy maisha ya ndoa.
sasa naomba ushauri wenu kuna mwanaume nimekutana nae kama miezi sita hivi imepita, ni mtu mzima miaka 38 yeye hajaoa bado, so anataka tuoane baada ya kufahamiana vizuri lakini kinachonichosha ni kwamba tangu nijuane nae kila siku analia shida, anasema hana hela ananiambia matatizo yake kila kukicha na kuniomba hela mara hana ela ya kula, mara umeme umeisha nimnunulie luku nk. mwanzo nilijua ni kusaidiana tu labda anapitia kipindi kigumu kifedha, lakini imekuwa ni zoezi endelevu, wakati yeye anafanya kazi na mimi nafanya kazi.
Amekuwa ni mtu wa kulalamika kwamba kazi anayofanya haina maslahi nk. sasa kwa kweli nachoka sana nashindwa kuelewa hii tabia yake, hela anapeleka wapi? na kama hatujaoana tu ndio hivi ikifika ndani si ndio itakkuwa balaa wakati mimi natagemea tusaidiane maisha badala yake imekuwa mimi ndio wa kumsaidia yeye kila siku. kashakula hela zangu nyingi wakati mimi sijawahi kumuomba hela yoyote ile. nahisi kama nimemchoka jamani, naomba ushauri wenu.
Sihitaji wale wenye lugha chafu za kejeli, nipo serious jamani nahitaji ushauri wenu.
Asante
Mie nanunua ya nusu lita alafu napiga tarumbeta huku tunapiga story tu.Hahahahahahahahaha[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hadi aibu
Kama sijanunua uhai ya lita muja tukaishia kushare
Nani anataka mario
Hahaha
Sio mzigo bali ni furushi.Huyo mwanaume ni mzigo
Hahaha we mtata sana,mwenzio anatangaza biashara yake unataka kuharibu.Ule ujauzito wa mume wa mtu uliushautoa?
1.Yaani miezi miwili iliyopita uliomba ushauri kwamba umepewa mimba na mume wa MTU.Habarini za leo wana Jukwaa hili. nipo hapa leo munishauri ndugu zangu, mimi ni mdada wa miaka 33 niliolewaga zamani ila ndoa ikaota mabawa miaka 6 iliopita. lakini pamoja na hayo bado nina hamu sana ya kuolewa cause naona mara ya kwanza hata sikuinjoy maisha ya ndoa.