Simuelewi mwanaume huyu

Huyu jamaa mchunguze in deep kwani kuna uwezekano akawa na familia nyingine believe or not.
 
Its simple: umeona km umemchoka tayar, usiingie kwenye ndoa.
Mark these words, im tellin you!
 
Dadangu hayo matatizo kwa wanaume tunayo kila siku na hatulalamiki na ukilalamika una ambiwa wewe ni bahili na hufai kuwa na mahusiano.
Ushauri kaa nae na ongea nae ujue hatma ya safari yako.
 
Kuna wanaume mario vibaya mno...

Out atakutoa yeye ila bili utalipa weee (hawachelewi kujifanya wamesahau card ya benki)

si bora basi akudanganyie na kusahau kadi ya benki utajipa moyo labda atakurudishia... bila aibu atakwambia mi hapa sina hata mia... toa basi πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Kua Makin katika mahusiano Kuna kusaidiana ila huyo naona kakufanya kitega uchumi, na pengine kwa kua anajua inashida ya ndoa ndio mana anakufanya kitega uchumi jaribu kuwachunguza isije kua Ana mke tayar afu pia kama ulishaumia katika ndoa ya kwanza jaribu kuchunguza kabla yakuanza mahusiano ucje pata pasua kichwa Tena, kwa huyo hakuna mapenz hapo amekufanya atm
 
Acha kugharamia bills zake muaktie wewe sasa hivi ndo una hari mbaya ya kiuchumi aanze kugharamia bills zako hapo ndipo utapata kipimo kizuri kama uwe nae UA LA .

Kama ni marioo atakukimbia na kukuacha na atajifanya yuko busy sana
 
Anakupima km kweli ni mvumilivu au una tamaa za kuolewa tu
 
Ninakushauri tu dada kama ana mika 38 na hajaoa na pesa hana utakuwa na uhakika gani kwamba pesa zaku zinasaidia nyumba ndogo. Ninakushauri huo ni moto na ukiingia kichwa kichwa utakuchoma.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe mkifanyiwa nyinyi inawauma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
si bora basi akudanganyie na kusahau kadi ya benki utajipa moyo labda atakurudishia... bila aibu atakwambia mi hapa sina hata mia... toa basi πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
Hahahahahahahahaha[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]


Hadi aibu

Kama sijanunua uhai ya lita muja tukaishia kushare

Nani anataka mario

Hahaha
 
Labda kweli anamatatizo,ikizingatiwa mpo afrika.
 
Huenda hiyo ni njia anayotumia kukupima kama wewe ni mwanamke unaefaa kwa ndoa.

Pia anataka ajue uvumilivu wako uko vipi hata ikitokea kuna tatizo utakuwa mvumilivu.

Dada kuwa mvumilivu tu mbona nyie mkiwa hamna kitu huwa tunawavumilia?

Huwa tunawalea vizuri bila kulalamika wala kelele zozote.
 
Miezi sita tuu umekuja humu...
Kama umeshindwa kumvumilia hapo ndani itakuaje??

Dada yangu naona umri umeenda ila mda umebaki nyuma. No offense
grow up dada
 
Pole kwanza dadangu,pili uyu jamaa mchunguze vizuri anaweza kuwa mzigo kwako, na anaweza kukufanua uchukie kabisa ndoa na uikimbie kabisa itakayofata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…