Hilo nalo la kujiuliza????
Songa mbele....
U-girlfriend miaka 5 utadhani mwasomea sheria??????
mmhhh hapo itabidi uache tena kazi...mawee!!!
Hapana dada, kawazidi wanasheria. Huyu ni daktari. Na akirudi anapata speciality kabisa, tena ya udaktari wa moyo
ukiona mtu haumuelewi ujue haeleweki. Kazi kwako, kusuka ama kunyoa?
Hilo nalo la kujiuliza????
Songa mbele....
U-girlfriend miaka 5 utadhani mwasomea sheria??????
Mkubaliane tu jinsi ya kutunza watoto.....
Unless unahitaji more drama unaweza mkubalia.... (aliamua kuwa na wanawake wengine kakutana na moto ndio anakumbuka shuka kumekucha??? Au kaona umesonga mbele na maisha yako yana msimamo anataka kukuridisha nyuma???)))
Na iwe funzo kwa wanawakw wote, unaachaje kazi kwa sababu ya boyfriend????
Tengeneza maisha yako for the sake of your kids
Posa na mahari keshatoa ilikuwa tufunge ndoa mwaka jana ila kukatokea dharula
mmhhh hapo itabidi uache tena kazi...mawee!!!
Achana nae mshamba tu huyo. Tena ikiwezekana chukua watoto wako achana nae ----- mtozen huyo
Posa na mahari keshatoa ilikuwa tufunge ndoa mwaka jana ila kukatokea dharula
Habarini kwanza, naombeni
ushauri kwa hili.
Nina watoto 2 nimeishi na mwenazngu kwa miaka 5 ila bado hatujafunga
ndoa mwenzangu ameanza tabia za ajabu ambzo hapo kabla sikuwahi kuzijua
kabisa kawa mlevi wananawake ndo usiseme nilipokuja kugundua nilipewa
kipigo nikaamua kurudi kwetu maana hatujafunga ndoa chaajabu ndo kwanza
alikuwa ananiambia we kaa uko uko me nitaishi peke angu mara me ntaoa
mambo kibao ili ajue ntafanya nini ila mimi nikamjibu we fanya utakalo
amua. ugomvi wetu ulikuwa mkubwa hadi kufikia kwa wazazi maana una mambo
mengi imepita miezi kadhaa nilikuwa kimya tu saa ivi ananiambia
anaomba yaaishe nirudi wakati alishanikabidhi kwa wazazi wangu kuwa
hanihitaji tena nami nikaamua kufanya yangu na nijipange tena upya
kimaisha, na kule kwa wazazi wanajua ameshanikataa ila yeye moyon
anakiri bado ananihitaji. Niliacha kazi kwaajili yake maana tulikuwa
tukaa mikoa tofauti ila saa iv nimerudi tena kazin ila yeye mpka sasa
hajui kama ninafanya kazi nimfanyaje mtu huyu.