Simuelewi mpenzi wangu

kazi unayo...

huyo ana foleni ya akina Excel anaowachunguza!

yawezekana wewe uko mwishoni kabisa! so faili lako huwa analipitia wakati wa kulala akiwa na usingizi mzito!!

by the way, kuchunguzana ni pamoja na mawasiliano... sasa kama unachunguzwa kihivyo... ni zamu yako kuchunguza!
 
Last edited by a moderator:
Sikwambii weka picha maana Ipo tayari!
Kama kusoma hujui hata hiyo picha huioni?

Ushauri unaokufaa ni
achana nae halafu endelea kumvumilia!
 
Sasa hayo ni mahusiano unavyoona wew???apo wew ni msindikizaji tu
 
Kama anakupenda kweli,jalibu kumwambia umepata mpenzi mwingine na unataka umuowe.ili uone atachukuliaje swala ilo.
 
Mh. Hivi bila sex bado ni wapenzi?
 
Huko 38 ni umri wa kuwa tayari una watoto kilochobaki unalea tu

dogo mbona unakuwa mbishi? Umeomba ushauri na wewe unaanza kutoa ushauri! We pokea na ufanyie kazi. Pia jaribu kutafakari ushauri wa wakubwa kabla ya kujibu. Waswahili walisema asiesikia la mkuu?.......... Shauri yako mi naheshimu mawazo ya mkuu "jawilat"
 
Uuuuupsi pole sio wako huyu...picha ushaliona....take ur Tyme don't hurt ur self
 

Sio kila ushauri unafaa, huyo anapenda kulea watoto uzeeni. Wengine tunapenda tulee tukiwa bado strong na ujana
 
Busy, busy, busy.... Is her schedule highlighted in gold???
Huyo si wako, chapa lapa..!!
 
Muwache na ubishi wake,...aoe tu alete na kadi humu jamvini michango tutatoa asijali...yakimshinda pia alete humu jamvini ushauri tutatoa.
 

ha ha haaaa.tusindikze tupendwao buana.anakuchunguza kwan ye FBI????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…