Simuelewi mpenzi wangu


dear na mpenzi ni maneno ya kawaidatu kwa mtu wa karibu maneno ya kutilia mashaka ni baby honey sweety darling... Utakufa kihoro bure tuliza moyo wako
 
Mie kuna kijana huwa nachati nae aisee huwa ananikonga roho yangu....sio kwamba nimetoka nae hapana

ila its the kind of Person you can rely ON.........

Aiseee....wacha weeee!!! na wewe huwa unaikonga roho yake?
 
Mhh!!!!!!Mentor nakusubiria ujue

Mentor nakuonea wivu...usisome maneno hebu fikiria sauti nyororo yakuambia hayo maneno....manshallah wakubwa mnafaidiii!!!

Mbona nimeachwa njia panda?😱hwell:

We huna wa kwako? na mwaka huu lazima upauke si unajifanya hutaki mai namu yako ibadilishwe na kuitwa dia, dalingi, switi.....

ngoja Mentor aje akupe direction ........
Hapa nadhani ndio kijana Mentor allikuwa anakaribia karibia....
Hivi sijui huyu mpwa wangu ni msoma ramaniiiii...naona ndio anasubiriwa kutoa daireksheni...

Mh wewe na Mentor mna agenda gani ya siri?😕

Yaani badala ya kuelewa ndio kwanza unapata breini konkasheni....watu wanaenda kuitana dia na switilavu hivyo....we subiriii

ngoja nikalale mie nna usingizi tuonane kesho Inshallah.......

mimi49 ndio ukaagwa kidiplomasia hivyo...

Inshallah.. usiku mwema shost...

Hatimaye ukanyoosha mikono....kwa shingo upande ukaaga
 
Last edited by a moderator:
Mhh!!!!!!Mentor nakusubiria ujue

Sweetheart...wifiyo alinbana...nakuja leo lakini....

Mh mtu akiwa na mpenzi lazima ajiheshimu ataitaje wanaume wengine sweety,honey,asali wa moyo,barafu ya roho,darling haitakiwi hayo yapo reserved spesho kwa mupenzi....

Hun ni kuonesha tu upendo ulonao kwa rafikiyo...ofkozi, Agape kind of love.
 
Ha ha ha watu8 wewe!!!mi hata sijui kuisoma alama za wakati loh
 
Sweetheart...wifiyo alinbana...nakuja leo lakini....



Hun ni kuonesha tu upendo ulonao kwa rafikiyo...ofkozi, Agape kind of love.
Mentor unajua hayo maneno sweetheart ndio yamemchanganya mleta siredi!!!!

I hope wa kwangu haioni maana siredi itaanzishwa sasa hivi...........
 
Last edited by a moderator:

we una utani na mimi49 wewe.......

umenichekesha sana.............
 
Last edited by a moderator:
Sijui kama huwa naikonga nyoyo yake.......ila mie ya kwangu anaikonga sana tu........
Ya nani tena mbona BLOOD PRESSURE yangu imepanda ghafla na mapigo ya moyo yameongezeka,nimepatwa kama na kajiwivu fulani hivi....
 
mkuu ukiona ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike ujue yupo vulnerable to be attacked na intruders..watchout young man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…