kwangu m yeye ndo kila kitu na sjawah penda kama iv! I can say he z the love of ma life
I beg to differ na mtazamo wako,...... ndio maana nasisitiza kila siku kumdhibiti mwanaume ni kazi rahisi na ndogo sana lakini ni lazima ujuwe weakness za wanaume wengi ni nini!Nzenzu nafikiri unajua nini kinaendelea na umetoa hio post kupata unafuu wa kutoa likuumizalo... Pole saana... But you and i know kua huyo ni ex tayari hila tu hamjasaini doc... kuashiria mkataba umeisha....
I beg to differ na mtazamo wako,...... ndio maana nasisitiza kila siku kumdhibiti mwanaume ni kazi rahisi na ndogo sana lakini ni lazima ujuwe weakness za wanaume wengi ni nini!
Through my experience unaweza kukuta huyo jamaa yake alikuwa kwenye mahusiano kabla ya kuwa nae na yamemgharimu sana, sasa mtu wa namna hiyo inahitaji ufundi kumuhandle na kumsahaulisha yaliopita, pili financial status, wanaume tulio wengi kama ukiwa kwenye kipindi cha financial arassment basi hata maswala ya mapenzi hayawi priolity kwa mwanaume.
Kuna kitu kingine kidogo sana wanawake mmeshindwa hata kujifunza, hivi nyinyi bado hamjajuwa kwamba wanaume tunapenda kufanyiwa scrub na wanawake? pamoja na masaji? hivi vitu ukijifunza na ukanunuwa mafuta yote yanayoitajika huoni ni moja ya njia nzuri ya kumkamata mwanaume? wale wadada wanaotufanyia scrub huwa tunawapa tip mpaka ya 10,000= wakati huduma ya kunyoa na scrub unakuwa umeshalipia pembeni, na ndio maana salon ya kiume sasa hivi bila kuwaweka wale kina dada wa scrub inakuwa haina mvuto.
Sasa kazi kwenu nimewapa hiyo tip ndogo tu jifunzeni halafu muwafanyie wenza wenu muone uchawi huu wa ajabu unavyofanya kazi.

Naomba kujuwa umri wako na wa huyo mwenzako, maana tusigeneralise mambo bure.

inakuwaje kama uko mbali naye na unajaribu kumuweka karibu but reaction yake ndo ileile
vile vinahii vy senks mbona huku cvioni nikugongee mkuu!Muwe mnaweka na Jinsia zenu mnapoomba ushauri,

Ushauri hua unategemea kama wewe ni wa jinsia ya -me au -ke,

Mathalani kama wewe ni -ke naweza kukuambia tutafutane faragha face 2 face ili tuangalie cha kufanya juu huyo jamaa yako,

But kama wewe ni -me bana shauri lako, utajua mwenyewe jinsi ya kupigania uhusiano wako

advise is what we ask for when we know exactly what we should do bt we dont want to

Muwe mnaweka na Jinsia zenu mnapoomba ushauri,

Ushauri hua unategemea kama wewe ni wa jinsia ya -me au -ke,

Mathalani kama wewe ni -ke naweza kukuambia tutafutane faragha face 2 face ili tuangalie cha kufanya juu huyo jamaa yako,

But kama wewe ni -me bana shauri lako, utajua mwenyewe jinsi ya kupigania uhusiano wako

Hivi text ndo njia tu ya kuwasiliana na mpenzio?

yaonekana hata we huna mwelekeo..

Kama kawa nampenda lakini ni maneno tu...

Em sema nini kungine umefanya fanya cha kuonyesha unampenda..

Ukiacha hizo text ..