Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 262
- 668
YAh! Itakua ni kaugonjwa ila ndio hvo jitihada ziwekwe nyingi ili wajue ni nini hasaMpeleke hospital tena aeleze hiyo changamoto yake , bila kusema operation na changamoto ya uvimbe ,ungekua unachapiwa bwashee
Jukumu la msingi si ndio kupigwa miti? Na yeye ndio hayuko hukoHuenda ni hulka yake tu.
Cha msingi kama anatimiza majukumu yake ya msingi sioni kama kuna tatizo hapo!
Hakika , issue imekaa kitabibu zaidi kwa maelezo yakeYAh! Itakua ni kaugonjwa ila ndio hvo jitihada ziwekwe nyingi ili wajue ni nini hasa
Mimi nimeshashuhudia mtu alikua apewe talaka kwa kitu kama icho ila now yuko safi, yeye alikua anasikia maumivu akifanya tendoHakika , issue imekaa kitabibu zaidi kwa maelezo yake
Wameoana bila (kuchezeana)kufahamiana kwanza?Huenda ni hulka yake tu.
Cha msingi kama anatimiza majukumu yake ya msingi sioni kama kuna tatizo hapo!
MKiwa kwenye tendo anafurahia? na anafika kileleni? nakuuliza ivo si kwa kejeri nataka nishee nawewe taarifa fulani!Habari.
Mimi na mke wangu Tumeanza kuishi pamoja tangu 2022 ila kuna changamoto niliziona tangu mpaka leo sijawahi kuona zikibadilika zaidi ya mimi kuwa maskini wa kutupwa.
Mke sio mpenzi wa tendo mara nyingi mimi ndo nimekuwa nikimuanzishia hili suala na nilipambana kufuatilia Hospitali alionekana ana uvimbe akafanyiwa operation ila bado mpaka sasa mimi ndo kama nina uhitaji mkubwa na hili Tendo.
Kingine sio mtu wa furaha wala Amani nyumba yangu tunaishi kama tuko msibani sio mtu wa furaha hayuko romantic wala nimejitahidi sana ila hajabadilika.
Najiuliza je kwa hali hii Tuishia wapi hajafika miaka 30.
Hajanyimwa. Anachotaka mke naye awe anaanzisha mechi. Kitu ambacho sio lazima.Jukumu la msingi si ndio kupigwa miti? Na yeye ndio hayuko huko
Jaribu kumtoa out sehemu za starehe starehe aone one mazingira mengine atafunguka tuuHabari.