New york City
Senior Member
- Jul 24, 2020
- 176
- 567
Ni mwanaume , nayeweza kumfanya mwanamke ajihisi Dunia yote niyake kwa furaha Na mabashasha nakila aina ya utamu.Sasa wee hapo sio mapenzi, ni ubabe na u dictator. Mmmmmmh
Unaongea kama KIM JONG UN vileVeri simpo...
Ana jamaa nje anayemgonga...
Ukubali ukatae.
Ukibisha Jaribu kuchukua simu yake KWA KULAZIMISHA.
kama nimm, ningelazimisha kuchukua, najua angenipanda kichwan na ugonv ukawa mkubwa........
Alafu kisha, ningemuondosha ndani kwangu aende huko huko kwa kajamaa kake.
Nilishasema, Siwezi kukutunza, kukulisha kama mtoto, ulale mahali pazuri, kila kitu nikupe mm, . ...ALAFU UNIPANDE KICHWAN ,ET UNICHEPUKIE ?? MATOKEO YA KUCHEPUKA YAKUFANYE UNIBADILIKIE USHINDWE KUTIMIZA WAJIBU WAKO KWANGU??? .nahata kama una kazi yako sijui kipato chako, ili mradi ulikubali kuoana namm, hakikisha unaendelea kuniheshimu km Kichwa chako, Baba wa mji, Mkuu wa kaya ,
mamaeeeeeee .......Siku hizi wanaume wameisha, mnajifanya majentomeni et bebi bebi kibaoooooooo....
Usiseme hivo kiongozi hawa watu hawaeleweki na wewe huwezi kuwasemea. Ebu fata ushauri unaweza kuwa wewe ndo chanzo.Namkaza si mchezo, kwa hilo najiamini. Niko vizuri.
Hilo la kumfukuza ataathirika mtoto ujue ! Na kufukuzana sio deal siku hizi may be kama hamna mtotoAshangae ama utashangaa zaidi wewe. Unataka kushindana na shimo utazama mfukuze akumbane na walimwengu. Hakuna mashindano katika ndoa. Mtakuja kuumizana.
Mkuu ulitumia dawa gani aise naomba msaada wakoMkuu pole sana. Hii hali jaribu kuwa makini na kuchunguza sana usikurupuke na ushauri ambao unaweza kuwaletea shida kubwa zaidi.
Ebu chukua hii kama case study. Niliwahi kuishi na mwanamke wa aina hiyo akiwa hapendi hata nimsogelee na nikifanikiwa kufanya nae ni kamoko tu.
Baadae tukaja kugundua kuwa ana shida ya upungufu wa hormones za mshawasha aka genye. Dactari akaenda parefu na kutwambia ana tatizo la fungus kwenye kuta za via vya uzazi hadi kupelekea kuugua P.I.D (Pelvic inflammatory disease).
Yote hayo yanapelekea kukosa hamu ya kufanya tendo na pia huzuia mimba.
Tulianza matibabu ndani ya week 2 akawa active kiasi kwamba mimi nikawa ndo nalazimishwa nifanye hata kama ni muda wa kwenda job, navua nguo nafanya nasepa. Alikuja na moto wa jehanam.
Kiukweli kuna vitu vingi vinachangia sana hii migogoro ya kindoa. Kuwa makini ili usolve tatizo na sio kuongeza lingine.
Hahah yaani mimi ndo sitaki kuwa Hero wa mapenzi,mimi ni muwazi na napenda mtu muwazi.Yes ,in fact am a Hardliner in nature ktk nyanja mbali za maisha yangu , naheshimu sana Sheria za kichwa changu na Moyo wangu.Ni mwanaume , nayeweza kumfanya mwanamke ajihisi Dunia yote niyake kwa furaha Na mabashasha nakila aina ya utamu.
Upande wangu wa Pili. Ni mwanaume Nisovumilia ujinga, mwepesi wa kuacha napoona daily ni kero zonazonikosesha amani, , nikiona unaniishi kwa jeuri nakua Dikiteta , ni Mkali napooudhiwa, mwepesi kukasirika ingawa najioongoza ktk maamuzi.
Kwa ufupi...Maisha yangu hayaruhusu kabisa kabisa mwanamke awe sehem ya kunipa Karaha.
Imeshindikana kila mtu na 50% zake , no kubembelezana ,no kulilia mwanamke nooo nn !!!!.
Kila mmoja akifanya wajibu wake vzuri maisha ni matamu, lkn ukitegemea kunizengua hahahahahhahahahahahahhahahahahhahahaah itakula kwako hata kama tunawatoto.
karibu kiongozi hahaSijawahi chepuka, lakini hapa nilipofika nitalazimika,. potelea mbali
Umemjibu kimasihara Sana,kwa kifupi mke wake Ana tabia Kama za mke wangu.
Ukweli mimi najua Sana mapenzi,nje ya kitanda na ya kitandani,nasifiwa Sana kwa mapenzi na wanawake ambao mimejihusisha nao,nime dili hata na wanawake wakubwa kunishinda umri,lakini sifa wanazonipa sio kawaida na ninajijua,lakini kwa mke wangu nimefika mwisho.wanawake wa namna hiyo wapo Wala sio hatuwapi ipasavyo,nafikiri ni wako abnormal.
Kweli kabisa
Me nahisi hapa ndiyo unapokosea mkuu, jifundishe zaidi si kukaza tu, mwandae vizuri ili mechi iwe ya kirafiki.Namkaza si mchezo, kwa hilo najiamini. Niko vizuri.
Una uhakika na Hilo? Sex ni sanaa , inawezekana ujajiona kidume kwa kupiga show za kibabe na kuhesabu magoli , kumbe mwenzio Wala hujamgusa anapopataka .Namkaza si mchezo, kwa hilo najiamini. Niko vizuri.
Wenyewe Wana msemo wao Siku hizi, "Utamu Wala haupo mbali"Me nahisi hapa ndiyo unapokosea mkuu, jifundishe zaidi si kukaza tu, mwandae vizuri ili mechi iwe ya kirafiki.