Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
mimi sion shida yy kusaidia sema aniweke waz nijue.na wala simkataz sema isiwe too much mpk na ye ajisahau aishiwe hela ya nyumbani.na nilishamwambia kwamb ukisaidia niambie sio kwa ubaya ili nijue.
Dont be too weak, pangeni budget ya mwezi halafu kila mtu acontribute 50%; kwani wewe huhitaji kusaidia kwenu?
Naona zama hizi wanaume wameamua kuwatumia wanawake kikweli kweli.