Mimi ni mdada nimeolewa na nina watoto.tatizo ni mume wangu kabadilika sana.Anataka nimsaidie majukumu yake kwa asilimia kubwa na wakati ana kipato kikubwa.nimegundua kuwa hela anazopata kiasi kikubwa kinaenda kwao kwa mzazi wake na ukimuuliza anakuw mkali.sijakataa yeye kusaidia familia yke lakin aangalie na yeye ni baba sasa anahitaji kujenga familia yake.kma alijua kuwa anamajukum kwao asingeoa akamaliza majukum yake kwanza.nimejaribu kuongea nae lkn haelewi.ananipa makwazo sana .nimfanyeje jaman wana jf.