source please
Mweee! niangusage tu sambi sako meenyewe!Tumekuwa katika mahusiano kwa muda lakini hatujafnya tendo zaidi sana ya kutoka out,kujuliana hali na kuwasiliana.
Sasa yeye msimamowake kuwa hataki tendo mpaka tufunge ndoa.
Cha ajabu ni kuwa sasa amekuwa free kwangu kiasi kwamba anakuja geto kulala na anapolala anavua nguo zote lakini anasema tusifanye.
Mimi sipendi kumforce lakin nashindwa kumuelewa kwa kweli maana tujifunika shuka moja.
Sasa najiuliza atakuwa kweli hataki au anataka nimforce?
Akimalisa afunikeMweee! niangusage tu sambi sako meenyewe!
hahahahaha,jf raha sn
hahaaaaaaaaaa..
wakuu mbona mnacheka ??
mkuu umeniacha hoi
huko hoi sipajui ndio wapi ili nikufuate nikurudishe kwako