Simuelewi huyu mjamzito

Simuelewi huyu mjamzito

Kwani jamaa si alikwambia umwangalizie mkewe? Huna budi kumuangalia katika kila jambo.
Hivi wanaume mnapataga wapi ujasri wa kumpa jukumu mwanaume mwenzako akuangalizie mkeo?
Unakuta mtu anasafiri eti anamwambia mshkaji uwe unapita home umcheck shemeji yako.. seriously?
Kwa Zama hizi mawasiliano kibao mke anashindwa kujitunza mwenyewe hadi mtu mwingine awe anamcheck mara kwa mara? Mnakwama sana kwenye hili.
Akipata tatizo atasema hapo ndo utaweza kuomba mtu akusaidie kulingana na tatizo lenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu,

Mambo yasiwe mengi ni hivi apa nilipopanga kuna binti makamu ya 23 ni mjamzito na kama ilivyo desturi watu wa aina hii huwa wanakuwa na upendo wakati mwingine na mtu fulani si kwamba anamuhitaji kihisia ila ni hali aliokuwa nayo ndio humpelekea kuwa hivyo.

Nisirefushe mada ni hivi huyu bi dada alitokea kunipenda kuwa karb na mda mwingi nikiwa nyumbani kutokana na hali yake na nilijua ni suala la kawaida kwa mtu wa aina hii na mm kuonyesha nathamini kampani yake nikajenga tabia ya kila nikitoka namuuliza nikuletee nn leo mama k basi akiniambia namletea na ukizingatia watu wa aina hii wanaenda vitu vidogo vidogo ambavyo kuafford ni rahis bas kila siku ikawa kama kamchezo bas mazoea yakazidi mpaka akawa ananiulizia kila wakati wa washkj na akiniona narudi ananifrahia mno kama mwana kamuana baba yote ayo nikachukulia kawaida na mara kibao kiutani nikawa namwambia jinsi unavyonipenda bila kitumbo iko ningeshakupitia wewe basi anacheka haongei.

Tukio lililotokea jana ni hivi uyu mama k wa 5months kaniita kanikumbatia kama dk 2 afu akanipa kiss ya kikubwa ile afu akaniambia nakupenda sana tena akaniambia usione ni Anko tumboni ananiendesha naongea hivi kutoka moyo aise nilipigwa na butwaa na sijaongea akaniambia ipo siku utaamini.

Sasa jamani mimi najua kumzoea maana ana mwanaume wake baba k na huwa anakuja mara moja moja na aliwahi kuniambia niangalizie uyu akanipa namba kwa kwa incase yoyote nimcheki na aliwahi kuniambia anaona ujauzito wake yani huyu mama k tofauti na yeye.

Sasa naona huu ni msala maana leo nimejitahidi kumkwepa mama k sana ila naona kanifuata mpaka maskani kwa washkji napata mtihani kweli mimi siwezi kukaa karbu ya huyu mtu sitaki mambo ya kulana kimasihara na mjamzito, nitajitaftia matatizo ila changamoto nitamkwepaje huyu mama k.

Au nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
unapata chaji dkk 2 umetulia tu unafurahi, endelea kujifanya mr. Care mrejesho utaleta hapa.
 
Honestly usipelekeshwe na comments za members baadhi ukaharibu utu wako. Mimi nimemhifadhi mwanamke mjamzito (mimba ina miezi mitatu) kakaa kwangu wiki moja. Nilikua nalala nae mzungu wanne, nilijiapiza siwezi kufanya kitu kama hicho, na nilikaa mpaka akaondoka. K ni jambo la kawaida sana, muache tu, kama ana joto amuite mumewe. Ukimsaidia mtu, hasa mwanamke, keep aside sexual feelings.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikudanganya nani wakati wa mimba hawaliwi.wakati kitaalamu inaruhusiwana na haina madhara kikubwa ni staili yu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujamuelewa uliyemquote! Kitaalam sawa wanatakiwa kuliwa lakini kuliwa huko huko kusiwe na mtu mwingine bali ni muhusika wa mimba tu.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
Habari zenu,

Mambo yasiwe mengi ni hivi apa nilipopanga kuna binti makamu ya 23 ni mjamzito na kama ilivyo desturi watu wa aina hii huwa wanakuwa na upendo wakati mwingine na mtu fulani si kwamba anamuhitaji kihisia ila ni hali aliokuwa nayo ndio humpelekea kuwa hivyo.

Nisirefushe mada ni hivi huyu bi dada alitokea kunipenda kuwa karb na mda mwingi nikiwa nyumbani kutokana na hali yake na nilijua ni suala la kawaida kwa mtu wa aina hii na mm kuonyesha nathamini kampani yake nikajenga tabia ya kila nikitoka namuuliza nikuletee nn leo mama k basi akiniambia namletea na ukizingatia watu wa aina hii wanaenda vitu vidogo vidogo ambavyo kuafford ni rahis bas kila siku ikawa kama kamchezo bas mazoea yakazidi mpaka akawa ananiulizia kila wakati wa washkj na akiniona narudi ananifrahia mno kama mwana kamuana baba yote ayo nikachukulia kawaida na mara kibao kiutani nikawa namwambia jinsi unavyonipenda bila kitumbo iko ningeshakupitia wewe basi anacheka haongei.

Tukio lililotokea jana ni hivi uyu mama k wa 5months kaniita kanikumbatia kama dk 2 afu akanipa kiss ya kikubwa ile afu akaniambia nakupenda sana tena akaniambia usione ni Anko tumboni ananiendesha naongea hivi kutoka moyo aise nilipigwa na butwaa na sijaongea akaniambia ipo siku utaamini.

Sasa jamani mimi najua kumzoea maana ana mwanaume wake baba k na huwa anakuja mara moja moja na aliwahi kuniambia niangalizie uyu akanipa namba kwa kwa incase yoyote nimcheki na aliwahi kuniambia anaona ujauzito wake yani huyu mama k tofauti na yeye.

Sasa naona huu ni msala maana leo nimejitahidi kumkwepa mama k sana ila naona kanifuata mpaka maskani kwa washkji napata mtihani kweli mimi siwezi kukaa karbu ya huyu mtu sitaki mambo ya kulana kimasihara na mjamzito, nitajitaftia matatizo ila changamoto nitamkwepaje huyu mama k.

Au nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kapigwa mimba na Mbabu aliyestafu hapo TRA sasa hawezi kuolewa anatafuta pakupumzikia happ badae. HAONI FUTURE BAADA YA KUJIFUNGUA. kua makini utakuwa baba wa kambo hivi hivi. Waliokula wengine wewe utabeba karaha. Labda uwe na upendo wa Agape!
 
Back
Top Bottom