Simuelewi huyu mchumba wangu

Wewe hapo ni reserve shtuka kuna mwamba anapiga sasa anamskilizia akiona haelewki anakuja kwako mademu wajanja sana
 
Nasemaa Inasoma KM za kutoshaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanawake wa hivyo ni malaya mbwaa kuna mtu anammega huko nje falaa huyo
 
Well said mademu wengi wako hivyo
 
Kipindi ananikazia adi nimuoe ndio nilimuuliza kama ana bikra akasema hana ila hawez kufanya adi nimuoe kwaaababu wakati anatolewa bikra alikua hana fahamu kama hv sasa ni mlokole
Mamaeee kengee huyo analiwaa mahalii kama yotee achana nae mpaka hapoo...!! KAKA ACHANA NAE KAMA UNAJITAMBUA. maana shida sio kusubiri ila shida kuna anaepewa uchi muda wowote huo ndio ukweli
 
Mamaeee kengee huyo analiwaa mahalii kama yotee achana nae mpaka hapoo...!! KAKA ACHANA NAE KAMA UNAJITAMBUA. maana shida sio kusubiri ila shida kuna anaepewa uchi muda wowote huo ndio ukweli
Asante kwa ushauri
 
Mkuu yeye ana miaja 24 namm nina 28,kama starehe nishafanya sana sasa hakuna ladha ambayo siijui, ninachohitaji nioe niangalie maisha k ama upuuzi nishafanya sana
Kwa hiyo ndo uko tayari kununua mbuzi akiwa kwenye gunia. Mwanaume kama hujamla mtu unakuwa unatamani tu...utajua kweli una mpenda kama utamla mara kadhaa na bado unahitaji kuwa naye.

Ushauri wangu jitahidi ugonge haraka iwezekananyo baada ya hapo ndo mtajua kama kweli una mpenda na ndo utaanza kuangalia mambo ya kuoana.
 
Kama wewe si mlokole ataendeleea kukukataa kiaina
Mkuu wote tunaabudu pamoja na niliwahi kutishia kumuacha kisa tabia ya kupeleka mbele mipango ya harusi bila sababu za msingi akaitisha kikao kanisani tukayaongea yakaisha kua harusi ifanywe mwakani mwezi wa 8...sasa juzi anakuja niambia et ana mambo yake nimsubiri ad mwaka keshokutwa mm nikamuuliza mambo gani hayo hayasemi anadai ni uamuzi tu, namm nikameambia kqma ndio hvyo achague moja atoege mechi huku namsubiriaga au akiona hvyo dhambi basi tuoane.. Hapo yupo katikati ndo nataka nimteme coz hana msimamo
 
Kuna kila dalili kuwa unataka umle tu na kumuacha.
Kama msimamo wake unatokana na imani yake, achana na huyo binti utajipatia laana bure.
Utamtia mimba umwache na machozi yake yatakuharibia kila kitu
 
Kuna kila dalili kuwa unataka umle tu na kumuacha.
Kama msimamo wake unatokana na imani yake, achana na huyo binti utajipatia laana bure.
Utamtia mimba umwache na machozi yake yatakuharibia kila kitu
Mkuu huu uchumba unajulikana hadi kanisani shida anahairisha mipango ya harusi bila sababu za mcngi wakat yy ndie aliesema nimuoe hata sasa ili tusizini,
 
Keshakuona wewe ni msaka uchi tu, sasa chakufanya hapo mpotezee na yeye ajue kuwa haupendi miyeyusho na unaweza kupata uchi popote tu.
 
Hii inaitwa ngumu kumeza umemaliza Kila kitu ilishawahi nitokeaga
 
Tafta demu mwingine mkuu huyo acha aendelee kubania alichopewa bure
 
MREJESHO,
nilimkalia kimya siku 3 sipokei simu wala kujibu txt zake mwenyewe akavzia mda ambao nakuaga geto basi akaja akakuomba msamaha,nikampa matakwa yangu upya akakabaliana nayo na papuchi amenipa bila shida, ndani ya siku tatu nimemtafuna mara mbili alafu nikajifanya nipo bize na mambo yangu.. Sahz yy ndo anaibukia kasi kuniambia Nipeleke posa kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…