Anakupima kama una akili nyingi ama huna 😂Wakuu habarini napoleni pia na mahangaiko ya kujitafutia ridhiki.
Naombeni ushauri maana simuelewi huyu mchumba wangu.
Nilikutana na huyu binti miez 4 iliyopita na wakati nakutana nae nilimpenda sana basi nikazungumza nae tukakubaliana kwa sharti moja tukapime afya zetu kwanza. Tukapima na wote tupo safi,baada ya muda nilimhitaji tukutane kimwili aliniambia kufanya hvyo kabla ya ndoa ni dhambi kubwa hvyo kama nampenda nimuoe maana yy yupo tayari nimuoe hata saiz kuliko kuzini.. Basi kwa vile nampenda sikua na namna ya kukataa matakwa yake, nilivyomuambia nipo tayari kufata taratibu za kulipa mahari yeye akaja niambia hayupo tayari kuolewa sahz hvyo kama nampenda basi nimsubiri adi mwaka keshokutwa 2024ndipo nimuoe.
Kumuuliza kwann ananiambia hvyo wakati alishaniambia nimuoe hata sasa anasema yy kaamua tu aolewe 2024 ana mipango yake anataka aitimize kwanza, kumuuliza ni mipango gani hyo hasemi anasema kaamua tu, je ananipenda kweli huyo? Maana SIMUELEWI hanichuni wala nn nikikwama ananisaidia na ushauri mzuri ananipa shida hapo Nahitaj kula tunda hataki ad nimuoe na process ya kumuoa yenyewe anaipigapiga kalenda... Nisaidien mawazo wakuu
Akiolewa hazitatimia?Na yeye ana ndoto zake maishani acha azitimize...
Mkuu huyu binti ni mlokole na matakwa yake nimuoe hata sahz ili tusizini nimekubaliana nayo sasa najiuliza kwann anipige kalenda wakat kipato changu kinaniruhusu kuoa hata sasa?kama ni mipango ni vyema akaiweka waz ili nijue namsubir kwa ajili ya nini lakin hasemi zaid yakusema ameamua tu, haombi vitu ila anahakikisha ata nikikwama ananisaidia shida hapo tu SIMUELEWI nataka tunda yy hatak ad nimuoe na kumuoa kwenyewe ananipiga kalenda wajuzi wa mambo mnamuelewaje hapo?Huyo alikuwa anakunyima uchi. Hakuwa na mpango wowote wa kuolewa.
Ndiyo kusema kuwa, usijihangaishe. Nenda naye taratibu, lazima alambwe huyo.
Nikuchekeshe?
Wa kujidai hivyo, unaweza ukapewa ukasema hili ni pagale au pango? Inasoma mileage za kutosha.
Na kufikia hapo, tayari kaona ndugu yetu ni empty set!Anakupima kama una akili nyingi ama huna [emoji23]
Mkuu yeye ana miaja 24 namm nina 28,kama starehe nishafanya sana sasa hakuna ladha ambayo siijui, ninachohitaji nioe niangalie maisha k ama upuuzi nishafanya sana[emoji4][emoji4]
kwanini unataka kumuoa?
isije tokea baada ya kumuoa ukamuacha, maana shda yako hasa inaonekana ni tunda ukishalipata..! ...huo ni utani tu ngoja waje wataalam
Na ndugu alishindwa kutambua mtego. Kaonekana hamnazo.Anakupima kama una akili nyingi ama huna 😂
kweli! huenda amempiga calenda ili hilo pango alifanyie marekebisho kwa muda huo[emoji23]Huyo alikuwa anakunyima uchi. Hakuwa na mpango wowote wa kuolewa.
Ndiyo kusema kuwa, usijihangaishe. Nenda naye taratibu, lazima alambwe huyo.
Nikuchekeshe?
Wa kujidai hivyo, unaweza ukapewa ukasema hili ni pagale au pango? Inasoma mileage za kutosha.