Simuelewi huyu dada kabisa

Sasa umeeleweka, enhe aliwezaje kuiba fedha zote hizo tena benk?
 
Jamaa mie naona anampotezea mbaya sana maana dada amejitahidi kumrubuni mara kibao kwamba wakakumbushie anakuja kuniambia na mie naona kabisa hamtaki
 
Mrs leo walipokuwa marafiki alimpaga huyo dada password awe anamsaidia kuchukua hela in case maana mkaka kazi zake ni za field na anaweza chukua mwezi hayuko mjini kilichotokea hapo siku ameenda kuiba inaonekana alipeleleza akajua hayupo na kadi za benki za huyo kaka zilikuwa ndani hakusafiri nazo ndio akachukua akawa anatoa hela kwenye account ya benki
 
Pole sana Mdada, lakini fuata Moyo wako unavyokuagiza na ufanye!!
 
huyo mdada aliishi na huyo jamaa katika uhusiano kwa muda gani? maana inaonekana walikaa sana mpaka kuijua nyumba na kuchonga funguo za dharura inaonekana kuna muda walikaa, embu changanua hapo
 
Pole, ila kwa uandishi huo ipo siku atakuja kukutangazia kuwa hujui kusoma au kuandika..au UMEGHAFIRIKAAA?
 
mama watoto wengi ongea na mpenzi wako na mweleze adha inayopata kutoka kwa huyo dada. Kwa pamoja tafuteni ufumbuzi wa kero hiyo, usijaribu kutatua pekeyako, maana imeandikwa "Bora wawili kuliko mmoja". Kumbuka kumshirikisha Mungu kwani imeandikwa "Usitegemee akili yako mwenyewe".
 
Last edited by a moderator:
mama watoto wengi ongea na mpenzi wako na mweleze adha unayopata kutoka kwa huyo dada. Kwa pamoja tafuteni ufumbuzi wa kero hiyo, usijaribu kutatua pekeyako, maana imeandikwa "Bora wawili kuliko mmoja". Kumbuka kumshirikisha Mungu kwani imeandikwa "Usitegemee akili yako mwenyewe".
 
Last edited by a moderator:

Nimeupenda huu ushauri sijui kama mama watoto wengi ameuona!
 
Last edited by a moderator:
pole sn, unaweza kuta boy friend wako bado anawala nyote wawili! km vp jiweke pembeni!
 
Uhusiano wao ulikuwa kama miezi nane tu

hapo ni muda mrefu na mwanamke atalalamika kupotezewa muda. Je wamezaa mtoto?.Huyo jamaa amekuowa?

ushauri wangu sana ni kumwambia mmeo na kwa pamoja myapeleke haya mambo kisheria kwa maana ya kutoa taarifa kwa mwenyekiji wa kijiji na kituo cha polisi ili aitwe akanywe na lolote baya atakalofanya kwako uwe safe side.
 
Huyo ni mfa maji tu haachi kutapatapa mpotezee tu endelea na mambo yako, ila msimamo wa mume wako unahitajika sana, mshirikishe Mungu ktk njia zako zote.
 
Hebu muombe Mungu akuonyeshe njia sahihi,kama kweli huyo mwanaume anakupenda na anamalengo na wewe anatakiwa akuoe,its better uwe safer side hata kama ukipigania haki yako ya kutotukanwa hovyo na kufanyiwa fujo,iwe worth it...sio unatukanwa na kutishiwa for the sake of love ambayo u dnt even knw kama it last.#Tambua thamani yako#
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…