Simuelewi anataka nini

Alikua na mtu anamdanganya, ulimvyomdelete na jamaa kamzingua anataka kurudi
 

mara boss
Wewe ni boss wake unataka upendo wa nini?
 
Kamepigwa chini huko kanataka kujirudisha kwako ..endelea kuvunga hivyo hivyo kajambazi hako
 
Wote me naona mna akili za kitoto.
Watu wazima uzungumza na kufikia muafaka na kila mtu kujua nafasi yake

Sio lazima mzungumze,mtu akiku ghost mwambie Rest In Peace then potea zako,atajua mwenyewe
 
Anataka asikupoteze wewe na kule alipo pia asipapoteze. Hivyo anataka kudhibiti au kushikilia sehemu mbili kwa wakati mmoja lakini sehemu ile ya kule inaonekana ina nguvu kushinda ya kwako.
huu ukweli ndo huuma watu
 
Mmeanza kuchokana mmezoeana Sana. Chamsingi inakubidi umuoe muendelee na maisha
 
Wewe una umri gan? Nisije nikaandika comment ya kuhukumu.,kumbe tatzo ni umri
 

Upendo Uko wanandoa ambao wa naishi pamoja, wewe tafuta upendo kwenye vitabu vyako vya shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…