Simuelewi anataka nini

Kwani hujaelewa bado Nandy na Billinass kiti gani kimewafikisha walipo..??

"Ni kumrudi Umpendane na kuanza mapenz upya"
 
KAZI nzur mkuu. Yaani kama ambulance unalia huku una move on
Tena kausha hivyo hivyo na namba zake futa akikutukia message mwulize we nani ??
Duuuuu mshipa wa huruma haupitish damu kabisa..
 
Acha uyaya wa mapenzi, yaani bado hujitambui, wanaume of 21 century wanata mpaka uwashikie mapanja, hawajielewi kabisa
 
emu achana na mtu mbabaishaji yaani miezi mitano tu unahangaika
 
Ngoja nikwambie from my experience, uyo alaipata mwanaume mwingine akampa yale mapenzi ya juu sana hii ikafanya akuone mbuzi, then jamaa akajitoa gafla kashakula mzigo akajitoa kabisa, ndo amekumbuka chaka lake , ssa ni wewe uendelee nae kwa kumla tu ila mahusiano yawe yashakufa maana uyo ni malaya
 
Una umri gani?

Kwa namna ulivyoandika ni kama umri bado wa kitoto sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…