Simuelewi anataka nini

Endelea ku move on huyu atakuja akupige tukio kubwa hutasahau, hamna mwanamke hapo.
 
Mapenzi bhana, hayapishani na Siasa. Ninachokiona unatumika kama 'kibanda umiza' ilhali hata nyumbani kuna TV (tena smart tv). Braza, hawa viumbe tena wa kisasa ndo wanafanya tuwatumie kulingana na wao wanavyotaka. Wanawake watanisamehe, ila ikiwezekana mtumie kama gari la kukodi.
 
Amepata kikoba kipya mfuko umetuna usipoteze muda bonde ni pana inua macho yako, yeye akichagua kwenda kusini wewe nenda far North utanishukuru
 
Okay ngoja nikusaidie. Mfano kuna mtu kaja kakuomba kisu akakatie matunda ale. Halafu ile umempatia tu ghafla paaaaaah anaanza kukushambulia nacho kwa kukukata bila huruma.

Ila kwasababu upo vema kwenye maswala ya judo unafanikiwa kumdhibiti na kumnyang'anya hicho kisu. Je, swali linakuja.

Muda huo huo huku ukiwa unatokwa na madamu kwa majeraha aliyokutia na hicho kisu, akikuwekea tena sura ya huruma na kuomba umpatie tena kile kisu chako je utampa, au utajiuliza anataka nini?!

(Kuna somo linaitwa logic nadhani linatakiwa kurejeshwa shuleni na vyuoni kwa sasa kuwasadia vijana hasa wa kiume kutafakari kwa hekima na kuwa na logical reasoning badala ya kuwa na emotional thinking kwenye eneo la kusolve matatizo).
 
Move on brother, kipindi anakuletea nyodo ni alikua na mtu anamzuzua, hasa hawa vijana wanyonya nyuchi, achana nae huyo malaya brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…