Haya ndiyo matatizo ya wanaume wa cku hizi wanaoa wanawake wenye kazi ili kupunguziwa majukumu yao! Aaaagh! Kwani kutuma pesa home ni tatizo? Labda kama hajakushriksha! Je,mlikubalianaje kuhusu matumizi yenu ya pesa?au umemkurupusha tu?afterall mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia zakwangu nitatoa nikiamua tena penye ulazima eboo! usilalamike kakope! ndo uanaume huo!
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy! Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Nije kwenye pt niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahc kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu! Nimfanyaje mke wa namna hii?
Lakini mimi nijuavyo, mwanaume anapaswa kuwajibika kwa kila namna. Ukipata msaada kutokwa kwa mwanamke hiyo ni bahati yako.
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy! Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Nije kwenye pt niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahc kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu! Nimfanyaje mke wa namna hii?
Pole sana Mkuu...Inauma sana kuona mkeo yuko tayari kuona mwanenu anaacha shule kwa madai naye hapa pesa na hapo hapo una ushahidi wa yeye kutuma pesa chungu nzima kwa nduguze. Sijui hata nikushauri nini Mkuu...Pole sana.
Naomba tufunge mjadala make nimeoona regrets za mlengwa! Pengine alipata ushauri mbaya! Anaomba po ila mm sijakubali nitaamua kwa akili yangu nn kifanyike na nimemwambia sintoomba hata sent tano yake ktk maisha yangu! Ameregreaj sana ila mm sipo tena tayari kuendelea na relationship hii! Toka moyon kabisg amenipigia cm nying sana sijapokoea hata moja nina hasira sana make nimemsomesha huyv mtu!
Umeona eeh.
Pole zenu wenye wake dizaini hii....yani watoto wangu ni number one kwa kila kitu...niko tayari nishinde njaa wanangu waende shule.
Hawa ndio wanawafanya waume zao waugue BP; kama ela haionekani kuna haja gani ya yeye kufanya kazi...huyo angeolewa na kaka yangu....mkewe anakomaje; maana ana ela ila kwa ubahili alonao mke mwenyewe anajikuta anatoboka maana asipofanya hivyo watoto watatembea bila nguo.
wakati mwingine nasema kaka si bahili ila yuko smart; mkewe ana kipato kizuri sana pia asipobana basi ela ya mkewe ingeishia kwao.

kwani watoto babao ni nani??
hebu bebeni majukumu yenu kama wanaume. hivi ile miezi 9 na nyinyi mnasaifiaga??. ukiendelea na hio hali mkeo atakudharau. simama kama mwanaume
Sasa wema uko wapi? Yaani kukataa kulipa ada ya mtoto ndo wema?Mie naona kafanya jambo jema sana.
Maana ninyi wanaume huwa hamuaminiki hata kidogo.
kwenye kuosha vyombo and the like wanasemaga wanataka haki sawa, lakini kwenye suala la kulipa ada ya watoto wanasema jukumu la mwanaume.....Mzee jukumu la kusomesha mtoto ni lako wewe baba
mkeo ata akiwa na milioni 900 hizo ni zake
Acha kufuatitilia mkeo kuhusu pesa
Unataka amtumie nani
Hujafundwa wewe nitafute haraka