Kitu clone live bila chenga, naikumbuka kitkat yangu, hii lollipop sioni kabisa faida yake, mbaya muonekano inakwama hovyo tu, sijaona wala haijanivutia
Mie cjui maana ya technological terms kama hizi jamani: jelly bean,kitkat,CPU,RAM,ROM,1.2GHz/1.3GHz,cjui 3G,2G,4G n.k
Wataalam kina chief Mkwawa and the like p'se nisaidieni make jf darasa tosha.
Aksanteni.
mbona cimpo tu.... just google:typing: utaona maana yake ....google.co.tz au http://techterms.com/ ukiona huelewi.. rudi hapa tutakuelewesha vizuri man