Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,230
Na Kampuni yetu ya Tecno itaaupdate model gani, phantom?
Features za hiyo 'Lollpop' na manufaa yake kwa handset yangu ni nini.
What's noticeable or beneficial to a common user if they upgrade to lollpop?
Can you weigh,for us here, the benefits of upgrading vs not upgrading to lollpop?
Shukrani
Na Kampuni yetu ya Tecno itaaupdate model gani, phantom?
Mwe! ina maaa sie wenye simu vibabu (S2,S3) tuendelee kupiga kodo vijana(s4 ++) wakibadilisha sura na mwendo?samsung haina haja ya kujitangaza wao kama ilivyokuwa ktk kitkat kuanzia s4 nadhani zitapata update hio
Nimeangalia maduka mawili ya mjini kati sijafanikiwa kuona hii simu na motorola nyingine mpya. Inaonekana kama watanzania wengi hawazijui sana, tofauti na brand za samsung, iphone na htc. Hata kupata simu kama lg g2 maduka ya kawaida ilikuwa shida sana. Ukipata taarifa tujulishaneMoto g naweza kuipata duka gani hapa dar na shilingi ngapi?
samsung haina haja ya kujitangaza wao kama ilivyokuwa ktk kitkat kuanzia s4 nadhani zitapata update hio
Moto g naweza kuipata duka gani hapa dar na shilingi ngapi?
Ngoja nitulie na ZR yangu, kumbe sitapitwa na tecnolojia.