Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
MSAADA wataalam,
kwa anaefahamu jinsi ya kuweza kugundua simu zinazopigwa toka simu nyingine na msg ukawa unazipata na kwenye simu yako kama zilivyo bila ya muhusika kujuaย
Unatafuta tu kufa kwa presure,au kujiua kama yale ya Ufosaro!Kwa taarifa yako mkeo uenda ana simu nyingine full silent na inakaa jikoni kwenye ndoo ya mchele!Kumlinda mwanamke au mwanaume ni sawa na kulinda bahari ya Hindi,ukilinda Kigamboni wenzio Bagamoyo au Kawe wanaogelea kwa raha zao!Kama kuna nyendo unazitilia mashaka ongea naye muyamalize lakini huko unakoenda hutafanikiwa,tutaishia tu kukuzika na uwaache watoto yatima
haya bwana naona unataka kufa mapema! ngoja wenye kujua waje!MSAADA wataalam,
kwa anaefahamu jinsi ya kuweza kugundua simu zinazopigwa toka simu nyingine na msg ukawa unazipata na kwenye simu yako kama zilivyo bila ya muhusika kujua…
MSAADA wataalam,
kwa anaefahamu jinsi ya kuweza kugundua simu zinazopigwa toka simu nyingine na msg ukawa unazipata na kwenye simu yako kama zilivyo bila ya muhusika kujuaย
Mtafute mtu anaitwa Godfrey Electronics Humu atakuelekeza. mi niliweka siku 2 tu nkatoa, mpaka leo nimeapa KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI. sifuatilii tena

Unataka kujiua kama kina Mushi na Munis.
Mtafute mtu anaitwa Godfrey Electronics Humu atakuelekeza. mi niliweka siku 2 tu nkatoa, mpaka leo nimeapa KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI. sifuatilii tena
Unatafuta tu kufa kwa presure,au kujiua kama yale ya Ufosaro!Kwa taarifa yako mkeo uenda ana simu nyingine full silent na inakaa jikoni kwenye ndoo ya mchele!Kumlinda mwanamke au mwanaume ni sawa na kulinda bahari ya Hindi,ukilinda Kigamboni wenzio Bagamoyo au Kawe wanaogelea kwa raha zao!Kama kuna nyendo unazitilia mashaka ongea naye muyamalize lakini huko unakoenda hutafanikiwa,tutaishia tu kukuzika na uwaache watoto yatima
Mtafute mtu anaitwa Godfrey Electronics Humu atakuelekeza. mi niliweka siku 2 tu nkatoa, mpaka leo nimeapa KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI. sifuatilii tena
MSAADA wataalam,
kwa anaefahamu jinsi ya kuweza kugundua simu zinazopigwa toka simu nyingine na msg ukawa unazipata na kwenye simu yako kama zilivyo bila ya muhusika kujua…
Mtafute ye ndio atakupa vigezo na masharti ila itabidi ikucostNielekeze alivyokuekeza mkuu
Mtafute ye ndio atakupa vigezo na masharti ila itabidi ikucost
Kwavile unataka kufa mapema andaa wosia na jeneza lako. Chezea beijing wewe